Maandamano yanasababisha vifo?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,276
Reaction score
17,569
Je, mtu akiandamana atakufa?
Je, mtu akipita karibu ya watu wanaoandamana atakufa? na
Je, Kuandamana kunasababisha vifo kwa namna gani?
 
Watu wengine hawajui umuhimu wa maisha ya mwanadamu. Angekufa bintiye angetoa upuuzi alioutoa jana?
 
Watu wengine hawajui umuhimu wa maisha ya mwanadamu. Angekufa bintiye angetoa upuuzi alioutoa jana?
Anataka kusema kuandamana kunaua. Kuandamana ni jambo lingine na kuua kwenye maandamano ni jambo lingine.

Atafute mhalifu aliyeandamana na mhalifu aliyeua kwenye maandamano, inawezekana hawa wakawa watu 2 tofauti wenye kesi 2 tofauti kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…