Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,188
- 15,389
Tusubiri tuone, muda ni jibu sahihi kwa wakati sahihiWatu weka tunaoshi kwa matumaini na amani tele kuwa atafika, wabaya wake wanaokesha katika jitihada za kumharibia hapa na pale watashindwa tena na tena na tena!
Wewe ndo wa kusubiri. Si tunaendelea kuijenga nchi, nyie nyumbu endeleeni kichezeshwa rede na mariaTusubiri tuone, muda ni jibu sahihi kwa wakati sahihi
Na hawaoni kuwa kuna tatizoMambo ya aibu sana haya kwa mijitu mizima kutishwa na vijana wadogo wa Tiktok.
Amezuiliwa na majeshi yenye silaha za kivita ameogopaUliandamana pande zipi kamanda?!!!!
hii ni comment ya kulalia. ya siku!The fact that maandamano yameleta usumbufu wa kisaikologia kwa watawala ni ushahidi kuwa watawala hawa waovu wanakosa utulivu na wametingishwa.tunajua kabla ya siku ya leo kila kiongozi wa serikali hii alitoa Tamko.
Lakini tujiulize haya mambo yataendelea hadi lini?hii ni zao la nchi kuendeshwa na watu waliolaaniwa kwa kuua watu,kuiba pesa za umma,kutesa watu Nk.waovu kamwe hawawezi kupata utulivu.
Ukweli ni kwamba anguko la hii regime ovu haliepukiki kwa sababu wametengeneza hili kwa mikono yao wenyewe. Tusubiri muda wa Mungu.
π€£π€£π€£π€£Amezuiliwa na majeshi yenye silaha za kivita ameogopa
Kwa hiyo Samia ameshakimbia nchi? Hujui kwamba watawala hawajali hilo!? Usipotoka kuandamana anabaki kuchekea chooni ππππ. Ukitoka kuandamana ukipona pona Sana unarudi kilema.Tarehe 29 nilishiriki maandamano kama nyie utawala ovu hamtapata amani na utulivu leo tu mmehaha hii ni kwasababu waovu hawawezi kupata utulivu na wataanguka.
Wewe uliandamana maeneo gani?The fact that maandamano yameleta usumbufu wa kisaikologia kwa watawala ni ushahidi kuwa watawala hawa waovu wanakosa utulivu na wametingishwa.tunajua kabla ya siku ya leo kila kiongozi wa serikali hii alitoa Tamko.
Lakini tujiulize haya mambo yataendelea hadi lini?hii ni zao la nchi kuendeshwa na watu waliolaaniwa kwa kuua watu,kuiba pesa za umma,kutesa watu Nk.waovu kamwe hawawezi kupata utulivu.
Ukweli ni kwamba anguko la hii regime ovu haliepukiki kwa sababu wametengeneza hili kwa mikono yao wenyewe. Tusubiri muda wa Mungu.
Mabadiliko huwa yanaletwa na miji mikubwaNachojua jana mkoa wa Mtwara, Lindi na Tanga shughuli za kiuchumi zilikuwa kama kawaida hakuna mtu aliyekuwa anajua kama kuna maandamano
Haiko ivoπ€£π€£π€£π€£
Wao ni makamanda, huwa hawaogopi Wala kumheshimu mtu.