Na hl jeshi la polisi itambue km waislam hapo kesho na wao hawatokubali kitu,na nina uhakika hali haito chafuka cz mkuu wa nchi yupo nchini
sasa kwenye ofisi za wakuu wa mikoa mnaenda kufanya nini?safari ile ilikuwa ikulu huku mkijua rais hayupo sasa hivi kwa waziri mkuu na wakuu wa mikoa?ama kweli ipo haja ya polisi kuwatupia waandamanaji wa namna hii vitu vizito maana inaonekana wameamua kujitoa fahamu,sasa baada ya kushugulikiwa na vitu vyenye ncha kali watazinduka.Waislam wamepanga Maandamano ya Mani Tanzania hapo kesho hd ktk Ofisi ya Waziri mkuu kwa Waislam wa Dar Es Salaam na huku mikoa mingine ikielekea ktk Ofisi ya wakuu wa mikoa,huku jeshi la Polisi linaloshindwa kuamua mambo ipasavyo likitakwa Waislam wacfanye Maandamano ya Amani kwa kuogopa kuvunja amani,swali linakuja hapa kwan maandamano ya Amani siku zote huwa yanavunja amani ama kn agenda hapa imejificha juu ya kesi za waislam wote wanaoshikiliwa na jeshi la polisi.
Waislam wamepanga Maandamano ya Mani Tanzania hapo kesho hd ktk Ofisi ya Waziri mkuu kwa Waislam wa Dar Es Salaam na huku mikoa mingine ikielekea ktk Ofisi ya wakuu wa mikoa,huku jeshi la Polisi linaloshindwa kuamua mambo ipasavyo likitakwa Waislam wacfanye Maandamano ya Amani kwa kuogopa kuvunja amani,swali linakuja hapa kwan maandamano ya Amani siku zote huwa yanavunja amani ama kn agenda hapa imejificha juu ya kesi za waislam wote wanaoshikiliwa na jeshi la polisi.
ala ! Kumbe wamekamatwa kwa dhuluma!hebu tupe habari kamili maana inaonekana wewe ulishuhudia yote waliyoyafanya na wewe ni jaji muadilifukuachiwa huru waislam waliokamatwa kwa dhurma,wakina shekh farid,mselem,mussa na shekh ponda na wenzakeeee
basi andamana,ukivunjwa kiuno familia yako akiwemo mkeo watakusaidia kulea majiranikesho hamna atakayepigwa kirungu hata kimojaaaa