Polisi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 2,082 Reaction score 644 Dec 12, 2010 #1 Kuna gari linapita mitaani likiwataka waislamu wote wakusanyike uwanja wa shycom kwa ajili ya kuanza maandamano yatakayopita katika mitaa mbalimbali ya shinyanga, naomba mlio na taarifa kuhusdu maandamano haya utupe taarifa
Kuna gari linapita mitaani likiwataka waislamu wote wakusanyike uwanja wa shycom kwa ajili ya kuanza maandamano yatakayopita katika mitaa mbalimbali ya shinyanga, naomba mlio na taarifa kuhusdu maandamano haya utupe taarifa
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Dec 12, 2010 #2 Kwa usalama wako kaa ndani, waulize polisi kama wanataarifa.