Maandamano ya kihistoria shinyanga

Maandamano ya kihistoria shinyanga

Darasani wanakaa muda gani hao???? Paper ikija si watafeli tena????

Kwani shule za kata zina waalimu? wameona bora wadai walimu na elimu bora kupitia maandamano ya wanaharakati
 
Nataka kuwaarifu Vijana wa Chadema kwamba Muasisi wa chama chenu anajisikia vizuri sana kuona jinsi wananchi wanavyotuunga mkono katika maandamano haya ya amani yanayolenga kufafanua na kueneza ujumbe na hoja zetu.

UZI NI HUO HUO!!!! HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE!!!!!!!!!!!!!!!!!

Pamoja sana babu........!
 
Back
Top Bottom