Maandamano ya chadema

Maandamano ya chadema

gwala

Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Habari za asubui wana JF kulikuwa na taarifa za maandamano CDM leo. kwa mwenye taarifa ya kinachoendea atujuze jamani.
 
Inaelezwa magazetini kuwa yamefutwa baada ya muswada kuondolewa hati ya dharura, na kukubali ujadiliwe na waanchi zaidi na kuandikwa kwa kishwahili
 
Yamehairishwa...hayatakuwepo tena coz muswada umetolewa maamuzi in favor ov umma...
 
Back
Top Bottom