sr bachelor
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,198
- 800
Kuna watu bado wanafikiri kuongea kiingereza ndo usomi..eti parasympathetic..mtu anaandika medical terminology anaona ni kiingereza..kumbe ni kilatiniNimecheka sana nilipo soma kizungu cha bwana mkubwa. Kazi kweli kweli"
habari mwana korogwe. Uongozi wa chadema unakutaarifu kuwa siku ya jumatano tarehe 24/09,kutakuwa na maandamano ya amani kupinga bunge la katiba kuendelea kula fedha za wananchi.
Hivyo unatakiwa kuhudhuria saa nane mchana kwenye ofisi yetu ya chama iliyopo mtaa wa kirikiri- manundu, ili tuandamane hadi uwanja wa sokoni.
Wajulishe na wengine.
Uongozi wa wilaya
There is no ingenuous in the empirical facts, you guys should be working at that time. You guys are lazy and filthy creatures who are parasites to your own nation, inter-alia, expecting better life through diabolical and cheap politics.
Tanzanians don't learn that politics never change the life of people but people change their own life. Go and work for your family and stop be a dependant person. It is pathetic at this century for young people like you to be controlled intellectually by cheap politicians who are sucking your life out of you.
You should be working at that time. That is why Tanzania is poor because of using your working time in such things "Politricks". How many working hours are you Tanzanians going to lose in totality?
taifa lenye wanaume waoga kama wewe lazima litakua maskini tu..COWARD
mie nahisi headings zinakosewa kidogo juu ya haya maandamano yanayoendelea,hivi kwa mfano kwanini msiandike maandamano ya Wananchi ...... kuliko kuandika ya Chadema tu,nasema hivi kwasababu haijalishi nani kayaandaa lakini nimeshuhudiwa wananchi tofauti wakiwa nyuma ya haya maandamano na pili Chadema ni means tu lakini sie wananchi ndo tumeyaomba maandamano na Chadema wakajitolea tu kutuonesha njia,na pia kuondoa umbea kwamba wanaoandamana ni Chadema kumbe ni wananchi wapenda maendeleo ya nchi yao
I never mention CCM in my post, I am curious if truly you guys are serious in the building of a stargaring nation by spending your time in the "maandamano" instead and place of building the nation.ha ha haaaaaaaaaaaaa! ha haa haaaaaaaaaaaaaaa.dah, lakini sikulaum ndugu. hii yote ni kazi ya ccm. mika 50 ya uhuru hukutakiwa kuandika hivyo mkuu. ccm ni adui yako kwelikweli, ungana kwenye maandamano
You are waste of life and deserve worse than better life. Pathetic muzzratagastaniscaco.Una kazi wewe zaidi ya kupakatwa na wakubwa kwa book 7 kazi ziko wapi wakati majambazi wa CCM waliuza viwanda vyote tumelima Mahindi serikali iliyofirisika hawawezi kununua mahindi yetu
utajiri unapatikana kwenye maandamano
Ungejua unavyojichora,usingethubutu kuandika hata sentensi moja ya hiyo lugha inayofanana na kiingereza kwa mbaaali.You are waste of life and deserve worse than better life. Pathetic muzzratagastaniscaco.