Maandamano ya CHADEMA Korogwe

Maandamano ya CHADEMA Korogwe

Nimecheka sana nilipo soma kizungu cha bwana mkubwa. Kazi kweli kweli"
Kuna watu bado wanafikiri kuongea kiingereza ndo usomi..eti parasympathetic..mtu anaandika medical terminology anaona ni kiingereza..kumbe ni kilatini
 
habari mwana korogwe. Uongozi wa chadema unakutaarifu kuwa siku ya jumatano tarehe 24/09,kutakuwa na maandamano ya amani kupinga bunge la katiba kuendelea kula fedha za wananchi.

Hivyo unatakiwa kuhudhuria saa nane mchana kwenye ofisi yetu ya chama iliyopo mtaa wa kirikiri- manundu, ili tuandamane hadi uwanja wa sokoni.

Wajulishe na wengine.

Uongozi wa wilaya

mungu awalinde dhidi ya vitu vyenye ncha kali .
 
There is no ingenuous in the empirical facts, you guys should be working at that time. You guys are lazy and filthy creatures who are parasites to your own nation, inter-alia, expecting better life through diabolical and cheap politics.

Tanzanians don't learn that politics never change the life of people but people change their own life. Go and work for your family and stop be a dependant person. It is pathetic at this century for young people like you to be controlled intellectually by cheap politicians who are sucking your life out of you.

Una kazi wewe zaidi ya kupakatwa na wakubwa kwa book 7 kazi ziko wapi wakati majambazi wa CCM waliuza viwanda vyote tumelima Mahindi serikali iliyofirisika hawawezi kununua mahindi yetu
 
You should be working at that time. That is why Tanzania is poor because of using your working time in such things "Politricks". How many working hours are you Tanzanians going to lose in totality?

ha ha haaaaaaaaaaaaa! ha haa haaaaaaaaaaaaaaa.dah, lakini sikulaum ndugu. hii yote ni kazi ya ccm. mika 50 ya uhuru hukutakiwa kuandika hivyo mkuu. ccm ni adui yako kwelikweli, ungana kwenye maandamano
 
mie nahisi headings zinakosewa kidogo juu ya haya maandamano yanayoendelea,hivi kwa mfano kwanini msiandike maandamano ya Wananchi ...... kuliko kuandika ya Chadema tu,nasema hivi kwasababu haijalishi nani kayaandaa lakini nimeshuhudiwa wananchi tofauti wakiwa nyuma ya haya maandamano na pili Chadema ni means tu lakini sie wananchi ndo tumeyaomba maandamano na Chadema wakajitolea tu kutuonesha njia,na pia kuondoa umbea kwamba wanaoandamana ni Chadema kumbe ni wananchi wapenda maendeleo ya nchi yao

nimeipenda sana hii,watu kama sisi kina gogo la shamba lazima tukuunge mkono
 
ha ha haaaaaaaaaaaaa! ha haa haaaaaaaaaaaaaaa.dah, lakini sikulaum ndugu. hii yote ni kazi ya ccm. mika 50 ya uhuru hukutakiwa kuandika hivyo mkuu. ccm ni adui yako kwelikweli, ungana kwenye maandamano
I never mention CCM in my post, I am curious if truly you guys are serious in the building of a stargaring nation by spending your time in the "maandamano" instead and place of building the nation.

How much and what are you doing for yourself? Or you are part of 42% Tanzanians who feels that they are entitled of other people's tax money?
 
Una kazi wewe zaidi ya kupakatwa na wakubwa kwa book 7 kazi ziko wapi wakati majambazi wa CCM waliuza viwanda vyote tumelima Mahindi serikali iliyofirisika hawawezi kununua mahindi yetu
You are waste of life and deserve worse than better life. Pathetic muzzratagastaniscaco.
 
utajiri unapatikana kwenye maandamano

mtu ukiwa kilaza bana..shida sana..nchi yenye ustawi nna kuendelea haiji hivi..haiji kwa nchi kuwa na wanaume waoga-cowards like u ambao wanaona hela ya nchi inataketea hapo bungeni unakubali tu...nchi imara inakuja kwa wanaume wa hizo nchi kujitolea na kutetea maslahi ya taifa husika...wewe endelea kujifungia ndani ..ikiwezekana ingia uvunguni kabisa uache wanaume wakiipigania nchi yako...kilaza mkubwa wewe..
 
Back
Top Bottom