DAMAS DAMIAN
Senior Member
- Apr 8, 2011
- 115
- 54
Habari mwana Korogwe. Uongozi wa CHADEMA unakutaarifu kuwa siku ya Jumatano tarehe 24/09,kutakuwa na maandamano ya amani kupinga Bunge la katiba kuendelea kula fedha za wananchi.
Hivyo unatakiwa kuhudhuria saa nane mchana kwenye Ofisi yetu ya Chama iliyopo Mtaa wa Kirikiri- Manundu, ili tuandamane hadi uwanja wa Sokoni.
Wajulishe na wengine.
UONGOZI WA WILAYA
Hivyo unatakiwa kuhudhuria saa nane mchana kwenye Ofisi yetu ya Chama iliyopo Mtaa wa Kirikiri- Manundu, ili tuandamane hadi uwanja wa Sokoni.
Wajulishe na wengine.
UONGOZI WA WILAYA