Uhalisia ni kuwa CDM wamekosa cha kupigia debe mara baada ya serikali kuutoa Msuada wa Kuunda Tume ya Marekebisho ya Katiba bungeni. CDM wamepigwa bao peupe
Mara hii mmeshaanza kulia lia hata kabla ya moto wenyewe ukitaka faida yake muulize Wassira akusimulie yale ya Mwanza naona karibu nayeye ataanza kulialia kwenye TV.faida ya haya maandamano ni yapi nyie wana cdm
<br />faida ya haya maandamano ni yapi nyie wana cdm
Kama Lema atashiriki hayo maandamano Zitto hatohudhuria.
Hii aihitaji logic ni uhalisia tu kwani tofauti ya Zitto na Lema ni hii.
Zitto-Ana kinyongo,na pia ni 20% follower (yanini malumbano,bora nitulie,nijiweke pembeni..............nendaaaaah).
Lema-hajali lolote ni Mr. sugu follower (kwani wananijua Sugu ni mtu wa mavurugu.......linga baby kama unavyolingaga....... lingaaaa).
Chadema hongera kwa kuchagua gari za india (tata) mmh haya hii mpya !!
Wewe sio Mwanafunzi wangu "Kipoto Kurunzi" kweli?kama mimi leo Mwl. wako sina shule basi yale yote niliyokufundisha ni feki,hivyo inabidi uanze upya darasa la kwanza.