Kama Lema atashiriki hayo maandamano Zitto hatohudhuria.
Hii aihitaji logic ni uhalisia tu kwani tofauti ya Zitto na Lema ni hii.
Zitto-Ana kinyongo,na pia ni 20% follower (yanini malumbano,bora nitulie,nijiweke pembeni..............nendaaaaah).
Lema-hajali lolote ni Mr. sugu follower (kwani wananijua Sugu ni mtu wa mavurugu.......linga baby kama unavyolingaga....... lingaaaa).
Maandamano kila mwezi yanachosha Chadema wamesababisha mpaka maandamano yamekuwa hayana maana tena, ukizingatia na pesa zenyewe wamepeleka kununua magari ya mitumba ya india, ebu jiulize india toka lini kuna mitumba
Mh hayo uliyaandika huitaji hata elimu ya darasa la saba kata kujua elimu yako hebu rudi shule ujifunze kuandika.
Kweli tupuHakuna ukombozi wa kweli usio na alama ya damu!
Kama Arusha vile:evil:
Intel-jinsia............here we go again
faida ya haya maandamano ni yapi nyie wana cdmViongozi wa Chadema mlioko humu tafadhali tujuzeni kuhusu maandamano ya nyanda za juu kusini yanayoanza tarehe 4,Mei.Tunaomba kujua hayo kwani kuna watu wengi wanataka kutoka wilayani kwenda kwenye centre za maandamano.
Kitengo cha habari cha Chadema chini ya Erasto Tumbo mpo wapi??