ndugu umesema kweli,hapo hata mimi huwa watu mabwege.Acheni watu wafanye kazi, mnawapeleka watu kwenye maandamano, ikifika jioni nyie mnapokelewa na sukari na mkate NA WATOTO WENU, alafu sisi tunaingia nyumbani kwa kujificha na ukuta tukiwa tumechoka mpaka kitandani, huku nikiwaacha watoto wangu wakipiga miyao sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini.
Acheni watu wafanye kazi,
mnawapeleka watu kwenye maandamano, ikifika jioni nyie mnapokelewa na
sukari na mkate NA WATOTO WENU, alafu sisi tunaingia nyumbani kwa
kujificha na ukuta tukiwa tumechoka mpaka kitandani, huku nikiwaacha
watoto wangu wakipiga miyao sebuleni wanamsubiri baba atoke
kazini.
Kiwia aliambiwa na matata kuwa akome na arudi kwao uchagani hajaelewa?
Tafadhali eleza njia mbadala ni ipiCARLOS MAJURA
Binafsi naiunga mkono CHADEMA lakini siungi mkono maandamano; hayana tija.
Lazima Watanzania tutafute mbinu mbadala za kudai haki KWA AMANI, na si kwa njia ya maandamano au mikutano mingi ya hadhara, ambapo wananchi wasio na hatia yoyote wanaishia kupigwa, kujeruhiwa, wengi wao kupata vilema, kwa kuwa Jeshi la Polisi limedhihirishwa KWA USHAHIDI USIOPINGIKA kwamba lipo kwa ajili ya CCM na si kwa Watanzania wote!
Halitendi haki na halitatenda haki! Kwa nini tuwapeleke Watanzania hawa "machinjioni"?
CHADEMA ni chombo/chama chenye utajiri mkubwa wa fedha kwa kuwa kinaungwa mkono na wadau wengi ndani na nje ya nchi, hivyo chochote kikitaka kufanya, ufadhili utakuwapo.
Bw. Majura, wewe kama mwanahabari, unaijua vema nguvu ya Media, The Fourth Estate, kwa hiyo unajua vema kwamba CHADEMA ikianzisha na kumiliki vyombo vyake vya habari, kama vile Redio na Luninga, itakuwa na uwezo mkubwa wa kuwafikia wananchi kuliko hata mikutano. Hii ni njia nyepesi na inawezekana.
Ninaufahamu vema umuhimu wa mikutano, kwani Watanzania wamezoea kuwasikiliza viongozi wa vyama kwenye majukwaa ya hadhara, lakini kama tutaweza kuwafikia wananchi hawa kwa njia ya redio na luninga, hebu fikiria tutaweza kuwafikia wananchi wangapi tena kwa gharama nafuu zaidi?
SIUNGI MKONO MAANDAMANO! Watu wataumizwa bure! Halafu wimbo utakuwa ule ule: CHADEMA chama cha vurugu!
pambafu zenu,huyo mchaga kiwia analake jambo,anafanya mwanza iwe yake na familia yake,akili matope kweli.sasa asubirie 2015 aone,na nyie vibaraka akina majura sijui mmelishwa nini,leo hii anamuweka dada yake Gladis kiwia kuwa diwani viti maalum nyie akina majura mpo mpo tu.Limana lyanyoko
Kiwia aliambiwa na matata kuwa akome na arudi kwao uchagani hajaelewa?
jamani hili tusi lakizalilishaji sana,,tafadhali mods huyu bwana aondoe hilo tusi kiukweli!.Limana lyanyoko
Kiwia aliambiwa na matata kuwa akome na arudi kwao uchagani hajaelewa?
Hivi bado kuna watu wanaandamanishwa na wasiasa mpaka leo? Poleni sana utakuta na vijana wanajiita wasomi nao wanakimbizwa na mtu kama Kiwia....