Maandamano ya CHADEMA Ilemela yaiva

Maandamano ya CHADEMA Ilemela yaiva

Acheni watu wafanye kazi, mnawapeleka watu kwenye maandamano, ikifika jioni nyie mnapokelewa na sukari na mkate NA WATOTO WENU, alafu sisi tunaingia nyumbani kwa kujificha na ukuta tukiwa tumechoka mpaka kitandani, huku nikiwaacha watoto wangu wakipiga miyao sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini.
ndugu umesema kweli,hapo hata mimi huwa watu mabwege.
 
Acheni watu wafanye kazi,
mnawapeleka watu kwenye maandamano, ikifika jioni nyie mnapokelewa na
sukari na mkate NA WATOTO WENU, alafu sisi tunaingia nyumbani kwa
kujificha na ukuta tukiwa tumechoka mpaka kitandani, huku nikiwaacha
watoto wangu wakipiga miyao sebuleni wanamsubiri baba atoke
kazini.

wewe usiandamane kwa kuwa huna uwezo wa kupata Mkate wa siku nenda kabebe matenga ya kayabi pale Kirumba mpate kula mlo wa usiku liar usishawishi wengine kwani kila mtu ana utashi wake , subiri waje ccm wakuletee Pilau nyimbani na kofia .
 
CARLOS MAJURA

Binafsi naiunga mkono CHADEMA lakini siungi mkono maandamano; hayana tija.

Lazima Watanzania tutafute mbinu mbadala za kudai haki KWA AMANI, na si kwa njia ya maandamano au mikutano mingi ya hadhara, ambapo wananchi wasio na hatia yoyote wanaishia kupigwa, kujeruhiwa, wengi wao kupata vilema, kwa kuwa Jeshi la Polisi limedhihirishwa KWA USHAHIDI USIOPINGIKA kwamba lipo kwa ajili ya CCM na si kwa Watanzania wote!

Halitendi haki na halitatenda haki! Kwa nini tuwapeleke Watanzania hawa "machinjioni"?

CHADEMA ni chombo/chama chenye utajiri mkubwa wa fedha kwa kuwa kinaungwa mkono na wadau wengi ndani na nje ya nchi, hivyo chochote kikitaka kufanya, ufadhili utakuwapo.

Bw. Majura, wewe kama mwanahabari, unaijua vema nguvu ya Media, The Fourth Estate, kwa hiyo unajua vema kwamba CHADEMA ikianzisha na kumiliki vyombo vyake vya habari, kama vile Redio na Luninga, itakuwa na uwezo mkubwa wa kuwafikia wananchi kuliko hata mikutano. Hii ni njia nyepesi na inawezekana.

Ninaufahamu vema umuhimu wa mikutano, kwani Watanzania wamezoea kuwasikiliza viongozi wa vyama kwenye majukwaa ya hadhara, lakini kama tutaweza kuwafikia wananchi hawa kwa njia ya redio na luninga, hebu fikiria tutaweza kuwafikia wananchi wangapi tena kwa gharama nafuu zaidi?

SIUNGI MKONO MAANDAMANO! Watu wataumizwa bure! Halafu wimbo utakuwa ule ule: CHADEMA chama cha vurugu!
 
Last edited by a moderator:
Kiwia aliambiwa na matata kuwa akome na arudi kwao uchagani hajaelewa?

Kiwia ni Mbunge na Matata ni diwani....basi aangalie kisha aone nani amepigiwa kura na watu wengi...wengi wape na mawazo ya wengi yaheshimiwe...and this is democracy!
 
CARLOS MAJURA

Binafsi naiunga mkono CHADEMA lakini siungi mkono maandamano; hayana tija.

Lazima Watanzania tutafute mbinu mbadala za kudai haki KWA AMANI, na si kwa njia ya maandamano au mikutano mingi ya hadhara, ambapo wananchi wasio na hatia yoyote wanaishia kupigwa, kujeruhiwa, wengi wao kupata vilema, kwa kuwa Jeshi la Polisi limedhihirishwa KWA USHAHIDI USIOPINGIKA kwamba lipo kwa ajili ya CCM na si kwa Watanzania wote!

Halitendi haki na halitatenda haki! Kwa nini tuwapeleke Watanzania hawa "machinjioni"?

CHADEMA ni chombo/chama chenye utajiri mkubwa wa fedha kwa kuwa kinaungwa mkono na wadau wengi ndani na nje ya nchi, hivyo chochote kikitaka kufanya, ufadhili utakuwapo.

Bw. Majura, wewe kama mwanahabari, unaijua vema nguvu ya Media, The Fourth Estate, kwa hiyo unajua vema kwamba CHADEMA ikianzisha na kumiliki vyombo vyake vya habari, kama vile Redio na Luninga, itakuwa na uwezo mkubwa wa kuwafikia wananchi kuliko hata mikutano. Hii ni njia nyepesi na inawezekana.

Ninaufahamu vema umuhimu wa mikutano, kwani Watanzania wamezoea kuwasikiliza viongozi wa vyama kwenye majukwaa ya hadhara, lakini kama tutaweza kuwafikia wananchi hawa kwa njia ya redio na luninga, hebu fikiria tutaweza kuwafikia wananchi wangapi tena kwa gharama nafuu zaidi?

SIUNGI MKONO MAANDAMANO! Watu wataumizwa bure! Halafu wimbo utakuwa ule ule: CHADEMA chama cha vurugu!
Tafadhali eleza njia mbadala ni ipi
 
...leo badala ya kuwapa buku 7 naona wameamua kuwapa kabisa madawa ya kulevya,mnatapika matusi tu na ujinga wa ukabila...baada upumbavu wenu wa ugaidi kugonga mwamba mahakamani,sasa mmerudi kwenye ile sera yenu ya zamani ya ukabila na udini...Chama Cha Majangili kurudisha majimbo ya Ilemela na Nyamagani ni ndoto za mcha na mtangoja sana hadi mauti yawakute kwani wanaMWANZA alishajitambua siku nyiiiiingi na hawawezi kuchagua tena Chama Cha Madawa ya kulevya...CCM Mwanza mmebakiza bendera na baadhi ya mashat na kanganga chache tu za kijani na njano ambazo tutakuzizika rasmi 2015...
 
pambafu zenu,huyo mchaga kiwia analake jambo,anafanya mwanza iwe yake na familia yake,akili matope kweli.sasa asubirie 2015 aone,na nyie vibaraka akina majura sijui mmelishwa nini,leo hii anamuweka dada yake Gladis kiwia kuwa diwani viti maalum nyie akina majura mpo mpo tu.Limana lyanyoko

Haina haja ya kutukana....JF ina sheria zake na tabia hizi za kutukana kwa kutumia lugha ndizo zilimuweka kifungoni katibu wa chama chako bara...Mwigulu Nchemba.
mimi ni moja ya waliomchagua Highness na wala hatujutii....have it your own way and stop talking on behalf!
 
Kiwia aliambiwa na matata kuwa akome na arudi kwao uchagani hajaelewa?

Uchagani ndio wapi? Mbona wachaga wapo kila kona hapa tz! Acheni propaganda za chama chama cha mateja (ccm)
 
Kiwia aliambiwa na matata kuwa akome na arudi kwao uchagani hajaelewa?

Pointless! Suala la msingi ni kuwa je sheria na taratibu zilifuatwa katika kumpata meya? Sheria na utawala wa sheria lazima uzingatiwe bila kuangalia rangi, kabila, jinsia au cheo nk.
 
Hivi bado kuna watu wanaandamanishwa na wasiasa mpaka leo? Poleni sana utakuta na vijana wanajiita wasomi nao wanakimbizwa na mtu kama Kiwia....
 
Hivi bado kuna watu wanaandamanishwa na wasiasa mpaka leo? Poleni sana utakuta na vijana wanajiita wasomi nao wanakimbizwa na mtu kama Kiwia....

Hilo neno kuandamanishwa unalitumia wewe tu...na ni wewe na wenzio ndio huwa mnaandamanishwa!
 
Back
Top Bottom