CARLOS MAJURA
Senior Member
- Mar 7, 2013
- 192
- 69
Hiyo ndiyo njia pekee iliyosalia ya kudai haki , UOGA NDIYO DHAMBI MBAYA KULIKO ZOTE .
CCM wanamg'ang'ania muuaji Matata, wananchi hawamtaki meya Mwizi, Jambazi mwenye kumiliki kikundi cha mauaji, GYM ya MAGNUM inajulikana kama center ya kutengeneza maharamia, cha ajabu vyombo vyote vya dolla vina taarifa hii lakini havichukui hatua! Kwanini tusiamini kuwa CCM ni Chama cha Magaidi? Yes alikuwa pandikizi kama yalivyo mapandikizi mengine yaliyomo CDM ...Ni wakati muafaka sasa wa chadema kufanya mchujo wa kuwaengua moles wote waliopandikizwa na CCM ...Hope Ben 10 kama kawaida atawashughulikia wote ....
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEOCHADEMA Wilaya ya Ilemela tumekuwa katika mfululuzo wa mikutano pamoja na mbunge wa jimbo la Ilemela Mh Highness Kiwia. Mikutano hiyo ilihitimiswa tarehe 2/8/2013 kwa mkutano uliofanyika katika kiwanja cha minazi mitatu Kitangili.
WILAYA YA ILEMELA.
TAARIFA KWA UMMA
Ujumbe mahsusi waliowasiliswa katika mikutano hiyo ulikuwa ni kwamba; uchaguzi wa meya wa Ilemela uliomweka Matata madarakani ulikiuka misingi ya sheria za nchi. Na swali liliulizwa,Je wanachi wakotayari kuendelea kuruhusu sheria za nchi kuvunjwa na wao kuendelea kukaa kimya?
Wananchi kwa ujumla walisema hawako tayari kuvumilia uvunjifu wa sheria na wakamtaka Mbunge aongoze maandamano ili kupeleka ujumbe kwa Mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Jana tarehe 7/8/2013, kamati ya utendaji ya wilaya ya Ilemela ilifanya kikao cha tathimini na kwa kauli moja wajumbe waliazimia mandamano yafanyike tarehe 15/8/2013. Kwa sasa maandalizi ya naendelea ikiwa ni pamoja na kutimiza taratibu za kisheria.
Kwa taarifa hii tunawaomba wananchi wote wajiandae kushiriki maandamano hayo ambayo ni muhimu sana kwa mustakabali wa maendeleo ya Ilemela.
Imetolewa na:
ILEMELA AMANI, AMANI ILEMELA
CARLOS .N. MAJURA
KATIBU MWENEZI (W)
8/8/2013

Acheni watu wafanye kazi, mnawapeleka watu kwenye maandamano, ikifika jioni nyie mnapokelewa na sukari na mkate NA WATOTO WENU, alafu sisi tunaingia nyumbani kwa kujificha na ukuta tukiwa tumechoka mpaka kitandani, huku nikiwaacha watoto wangu wakipiga miyao sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini.
Piga hao, wapigwe tuuuuuu
Mods mko wapi huyu jamaa katukana tusi kali sana,,tuliolielewa tunashangaa mpaka sasa hajaadhibiwa!
pambafu zenu,huyo mchaga kiwia analake jambo,anafanya mwanza iwe yake na familia yake,akili matope kweli.sasa asubirie 2015 aone,na nyie vibaraka akina majura sijui mmelishwa nini,leo hii anamuweka dada yake Gladis kiwia kuwa diwani viti maalum nyie akina majura mpo mpo tu.atakayeunga mkono huo upuuzi wa maandamano hazimtoshi kichwani,watu waendelee na shughuli zao.Limana lyanyoko