Maandamano ya CHADEMA Ilemela yaiva

Maandamano ya CHADEMA Ilemela yaiva

CARLOS MAJURA

Senior Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
192
Reaction score
69
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
WILAYA YA ILEMELA.

TAARIFA KWA UMMA

CHADEMA Wilaya ya Ilemela tumekuwa katika mfululuzo wa mikutano pamoja na mbunge wa jimbo la Ilemela Mh Highness Kiwia. Mikutano hiyo ilihitimiswa tarehe 2/8/2013 kwa mkutano uliofanyika katika kiwanja cha minazi mitatu Kitangili.

Ujumbe mahsusi waliowasiliswa katika mikutano hiyo ulikuwa ni kwamba; uchaguzi wa meya wa Ilemela uliomweka Matata madarakani ulikiuka misingi ya sheria za nchi. Na swali liliulizwa,Je wanachi wakotayari kuendelea kuruhusu sheria za nchi kuvunjwa na wao kuendelea kukaa kimya?

Wananchi kwa ujumla walisema hawako tayari kuvumilia uvunjifu wa sheria na wakamtaka Mbunge aongoze maandamano ili kupeleka ujumbe kwa Mkuu wa mkoa wa Mwanza.

Jana tarehe 7/8/2013, kamati ya utendaji ya wilaya ya Ilemela ilifanya kikao cha tathimini na kwa kauli moja wajumbe waliazimia mandamano yafanyike tarehe 15/8/2013. Kwa sasa maandalizi ya naendelea ikiwa ni pamoja na kutimiza taratibu za kisheria.

Kwa taarifa hii tunawaomba wananchi wote wajiandae kushiriki maandamano hayo ambayo ni muhimu sana kwa mustakabali wa maendeleo ya Ilemela.

ILEMELA AMANI, AMANI ILEMELA
Imetolewa na:

CARLOS .N. MAJURA
KATIBU MWENEZI (W)
8/8/2013
 
Safi sana mpaka kieleweke hatuwezi kwenda kwenda tuu kama mbuzi nchi hii ina shelia na talatibu na miko sasa hawa wanaotaka kufunika ili mwana halamu apite hatuwezi kuwavumilia.
 
Hiyo ndiyo njia pekee iliyosalia ya kudai haki , UOGA NDIYO DHAMBI MBAYA KULIKO ZOTE .
 
Kiwia aliambiwa na matata kuwa akome na arudi kwao uchagani hajaelewa?
 
Acheni watu wafanye kazi, mnawapeleka watu kwenye maandamano, ikifika jioni nyie mnapokelewa na sukari na mkate NA WATOTO WENU, alafu sisi tunaingia nyumbani kwa kujificha na ukuta tukiwa tumechoka mpaka kitandani, huku nikiwaacha watoto wangu wakipiga miyao sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini.
 
Polisi jiandaeni kukabiliana na wahalifu hao.virungu vinawahusu
 
CCM wanamg'ang'ania muuaji Matata, wananchi hawamtaki meya Mwizi, Jambazi mwenye kumiliki kikundi cha mauaji, GYM ya MAGNUM inajulikana kama center ya kutengeneza maharamia, cha ajabu vyombo vyote vya dolla vina taarifa hii lakini havichukui hatua! Kwanini tusiamini kuwa CCM ni Chama cha Magaidi? Yes alikuwa pandikizi kama yalivyo mapandikizi mengine yaliyomo CDM ...Ni wakati muafaka sasa wa chadema kufanya mchujo wa kuwaengua moles wote waliopandikizwa na CCM ...Hope Ben 10 kama kawaida atawashughulikia wote ....
 
sasa hivi ni gaid kisa amekataa kufuata mbinu chafu za chadema, cdm chama makin, ilikuwa aje mkateua awawakilishe km diwani??????
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
WILAYA YA ILEMELA.

TAARIFA KWA UMMA

CHADEMA Wilaya ya Ilemela tumekuwa katika mfululuzo wa mikutano pamoja na mbunge wa jimbo la Ilemela Mh Highness Kiwia. Mikutano hiyo ilihitimiswa tarehe 2/8/2013 kwa mkutano uliofanyika katika kiwanja cha minazi mitatu Kitangili.

Ujumbe mahsusi waliowasiliswa katika mikutano hiyo ulikuwa ni kwamba; uchaguzi wa meya wa Ilemela uliomweka Matata madarakani ulikiuka misingi ya sheria za nchi. Na swali liliulizwa,Je wanachi wakotayari kuendelea kuruhusu sheria za nchi kuvunjwa na wao kuendelea kukaa kimya?

Wananchi kwa ujumla walisema hawako tayari kuvumilia uvunjifu wa sheria na wakamtaka Mbunge aongoze maandamano ili kupeleka ujumbe kwa Mkuu wa mkoa wa Mwanza.

Jana tarehe 7/8/2013, kamati ya utendaji ya wilaya ya Ilemela ilifanya kikao cha tathimini na kwa kauli moja wajumbe waliazimia mandamano yafanyike tarehe 15/8/2013. Kwa sasa maandalizi ya naendelea ikiwa ni pamoja na kutimiza taratibu za kisheria.

Kwa taarifa hii tunawaomba wananchi wote wajiandae kushiriki maandamano hayo ambayo ni muhimu sana kwa mustakabali wa maendeleo ya Ilemela.

ILEMELA AMANI, AMANI ILEMELA
Imetolewa na:

CARLOS .N. MAJURA
KATIBU MWENEZI (W)
8/8/2013

pambafu zenu,huyo mchaga kiwia analake jambo,anafanya mwanza iwe yake na familia yake,akili matope kweli.sasa asubirie 2015 aone,na nyie vibaraka akina majura sijui mmelishwa nini,leo hii anamuweka dada yake Gladis kiwia kuwa diwani viti maalum nyie akina majura mpo mpo tu.Limana lyanyoko
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
WILAYA YA ILEMELA.

TAARIFA KWA UMMA

CHADEMA Wilaya ya Ilemela tumekuwa katika mfululuzo wa mikutano pamoja na mbunge wa jimbo la Ilemela Mh Highness Kiwia. Mikutano hiyo ilihitimiswa tarehe 2/8/2013 kwa mkutano uliofanyika katika kiwanja cha minazi mitatu Kitangili.

Ujumbe mahsusi waliowasiliswa katika mikutano hiyo ulikuwa ni kwamba; uchaguzi wa meya wa Ilemela uliomweka Matata madarakani ulikiuka misingi ya sheria za nchi. Na swali liliulizwa,Je wanachi wakotayari kuendelea kuruhusu sheria za nchi kuvunjwa na wao kuendelea kukaa kimya?

Wananchi kwa ujumla walisema hawako tayari kuvumilia uvunjifu wa sheria na wakamtaka Mbunge aongoze maandamano ili kupeleka ujumbe kwa Mkuu wa mkoa wa Mwanza.

Jana tarehe 7/8/2013, kamati ya utendaji ya wilaya ya Ilemela ilifanya kikao cha tathimini na kwa kauli moja wajumbe waliazimia mandamano yafanyike tarehe 15/8/2013. Kwa sasa maandalizi ya naendelea ikiwa ni pamoja na kutimiza taratibu za kisheria.

Kwa taarifa hii tunawaomba wananchi wote wajiandae kushiriki maandamano hayo ambayo ni muhimu sana kwa mustakabali wa maendeleo ya Ilemela.

ILEMELA AMANI, AMANI ILEMELA
Imetolewa na:

CARLOS .N. MAJURA
KATIBU MWENEZI (W)
8/8/2013

pambafu zenu,huyo mchaga kiwia analake jambo,anafanya mwanza iwe yake na familia yake,akili matope kweli.sasa asubirie 2015 aone,na nyie vibaraka akina majura sijui mmelishwa nini,leo hii anamuweka dada yake Gladis kiwia kuwa diwani viti maalum nyie akina majura mpo mpo tu.atakayeunga mkono huo upuuzi wa maandamano hazimtoshi kichwani,watu waendelee na shughuli zao.Limana lyanyoko
 
Naomba jeshi la polisi lianze mazoezi ya kurusha mabomu ya machozi na virungu viwe vya kutosha.
 
Tulijiuliza juzi cdm maandamano lini? Kumbe tumewakumbusha haya chondechonde wa tz jiangalieni na wamwaga damu hawa
 
Acheni watu wafanye kazi, mnawapeleka watu kwenye maandamano, ikifika jioni nyie mnapokelewa na sukari na mkate NA WATOTO WENU, alafu sisi tunaingia nyumbani kwa kujificha na ukuta tukiwa tumechoka mpaka kitandani, huku nikiwaacha watoto wangu wakipiga miyao sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini.

Acha ku-copy na ku-paste au ndo buku7 unamalizia MB!? Watu lazima wapambane kudai haki zao, kama ww hua unaingia kwako kwa kujificha na ukuta ukiwa mikono mitupu kutokea Lumumba ni uzembe wako. Matata si mea wa CDM.
 
pambafu zenu,huyo mchaga kiwia analake jambo,anafanya mwanza iwe yake na familia yake,akili matope kweli.sasa asubirie 2015 aone,na nyie vibaraka akina majura sijui mmelishwa nini,leo hii anamuweka dada yake Gladis kiwia kuwa diwani viti maalum nyie akina majura mpo mpo tu.atakayeunga mkono huo upuuzi wa maandamano hazimtoshi kichwani,watu waendelee na shughuli zao.Limana lyanyoko

kuna mchagga mwingine arusha ameua watu lundo naona huyu naye damu na roho za watu zinamuwasha
 
Back
Top Bottom