Omulangira
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 230
- 29
Pamoja na Polisi kuzuia maandamano nchi nzima, CHADEMA Manispaa ya Bukoba. imeandaa maandamano ya Amani ya kupinga matumizi mabovu ya kodi za Wananchi. Yanayoendelea katika Bunge la Katiba.
Maandamano hayo yanafanyika tarehe 24/9/2014 kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka kieleweke hayana mwisho na yatakuwa yakitokea kata zote 14 hadi makao makuu ya Chama. Maandamano ni haki ya msingi kikatiba.
Wamefulia hao hawana sera zaidi ya sera za maandamano
Hakuna cha maandamano wala nini mmefulia hamna sera ..... hongera polisi kwa kuwadhibiti, bunge lipo kisheria pt hakikisheni watu hao walioishiwa sera mnawadhibiti kikamilifu.
Huyo mleta mada bado ana hangover... sijui nani kamdanganya kuwa bukoba huwa kuna mafala kama Arusha!!! Bukoba hakunaga ujinga kama huo wa maandamano ya wahuni... Lwakatare mwenyewe pale ashafulia kitambo sana.
Kifupi bkb hawana siasa za ushabiki we nenda na sera nzuri watakuchagua.
We kubwa jinga unataka sere gani? wajinga ndio waliwao. Wanatafuna jasho lako we unakenua tu
Hakuna cha maandamano wala nini mmefulia hamna sera ..... hongera polisi kwa kuwadhibiti, bunge lipo kisheria pt hakikisheni watu hao walioishiwa sera mnawadhibiti kikamilifu.
Warangira msidanganyike mtabondwa. Jifunzeni kutii sheria bila shuruti. Wasiwauze hao Chadema. Mmesikia walangila.
Haya maandamano yenu yanaanzia JF na kuishia JF.