TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,673
- 1,571
Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam imeyapiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanywa kesho 03/02/2016 na baraza la vijana la chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA- BAVICHA kushinikiza shirika la habari Tanzania TBC kuendelea kuonesha bunge live kwa kile walichokieleza kuwa ni kwa sababu ya kwamba kesho ni siku ya kazi na pia BAVICHA hawakueleza mambo ya msingi katika barua yao kwamba
1. Iwapo maandamano hayo yatapokelewa na Rais Magufuli au la.
2. Katika barua yao hawakuonesha ni barabara zipi zitatumika katika maandamani hayo.
1. Iwapo maandamano hayo yatapokelewa na Rais Magufuli au la.
2. Katika barua yao hawakuonesha ni barabara zipi zitatumika katika maandamani hayo.