Tuseme tu ni wanachama wa CCM Wameandamana kusaka kura Kariakoo

-----------
Wananchi wa Kariakoo wamefanya maandamano ya amani kwa ajili ya kumpokea mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Haji Manara na mgombea Ubunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu kwenye mkutano wa Kampeni unaoendelea kufanyika hivi sasa
Chanzo: Manara TV