Maandamano TUCTA tarehe 28 Januari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano TUCTA tarehe 28 Januari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mdau, Jan 28, 2011.

 1. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Wadau,nilipata kumsikia Mgaya akisema kesho watakua na maandamano ya kupinga mfumuko wa bei,vipi yatakuwepo au longolongo tu??
  Namaanisha tarehe 29 wadau...
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi uliwaamini hao Tucta?
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  eti wamesogeza mbele mpaka sometime in february coz of police permit processing!
   
 4. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  washachakachuliwa hao
   
 5. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hao dniyo walewale baadae tutaambiwa tumekosa kibali tuache tu tuendelee kuzungumza na serikali. Hii ni hatari kwa afya zetu, watanzania tutakufa njaa kwa sababu ya siasa tu. Wacha watanzania mpaka damu zitutoke mikononi ndiyo tutajua tunaumia kwa sasa tunadanganyana tu hapa, hakuna cha maandamano wala kuandama ila tunaandamwa tu
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hao wakiishiwa huwa wanachimba mkwara wa maandamano. lengo lao ni kupozwa tu. wakilalmba chao huwasikii tena.

  subiri ziishe
   
 7. LUSAJO L.M.

  LUSAJO L.M. JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 223
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hivi unajua mpaka nachanganyikiwa... Ni hatua zipi zinatakiwa kufuatwa ili upate kibali cha maandamano?
   
Loading...