Haki haipatikani bure ila kwa kuidai kwa nguvu zote ikiwepo kuvuja jasho na damu ona misri na kenya.
Hiyo ndiyo njia sahihi kuwalazimisha watawala wa ovyo kubadili mwelekeo na kufuata matakwa ya wengi ambayo ni haki
Watanzania tuamke kudai haki zetu, elimu bora, afya bora na siasa safi (sisi sio kuku wa kitoweo kuchinjwa na kuuliwa ovyo kama vile tanzania sio yetu ni ya akina chenge, kinana, kikwete... peke yao!)