Ila huyo mkuu wa mkoa na kova lazima watoe maana halisi ya maandamano. Kwa sababu wanachama wa vyama kutoka katika kata au jimbo au tawi wanaweza wakawa wanakutania kwenye ofisi za matawi na baada ya hapo kuingia kwenye usafiri wa pamoja kuelekea kwenye eneo la tukio; na wakati wa kurudi ikawa vivyo hivyo; sasa je tafsiri ya hali hii ni maandamano? Tutaona CCM watafikaje jangwani hasa viongozi wao kama si wote kuanzia Lumumba; na wanachama wao kutoka maeneo tofauti kwa makundi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.