Hata kama watafanya mbinu zote za kifisadi na ki CCM watapatikana tu kesho maanake sikio la kufa halisikii dawa. Pamoja na Kutumia wale makada wa CCM wanaojiita Maprofesa wa sheria toka vyuo kama University of Dar .Ili kuwapoza wabunge masilahi (CCM) kuweza kupitisha muswada wa huo wa kuundwa kwa katiba, ni kwamba safari hii watapatikana tu.. Katiba itakayoundwa ni Mali ya wananchi na siyo mali ya rais ( Kikwete)na ( Chein) kama vifungu vilivyo kwenye muswada vinavyompa madaraka makubwa katika mchakato mzima. Kwa mtizamo mpana kama mambo yataachwa yaende hivyo basi ni kwamba tutapata katiba mbovu hata zaidi ya hii tuliyo nayo. Hii itakuwa ni katiba ya CCM kwa mawazo yangu kwani nguvu zote anazo rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM hivyo kwa wateule wote atakaowateua ni wazi mambo yatakuwa kama zile tume za uchaguzi wenyekiti wake...ni wanaCCM na hivyo ndoto za mageuzi ya kweli zitakuwa zimepotea kabisa .NAunga mkono maandamano na safari hii tuandane kuanzia Mara...tupite Mwanza na Dar itakuwa ni Tripoli na mwisho wa mchezo na udhalimu wa CCM utakuwa umefika mwisho...Mungu yupo pamoja nasi safari hii tutaikomboa nchi....