FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Macron ataondolewa na CIA ikulu
Mwache aendelee kuwa Karibu na Putin
Yule ni Raisi kijana, sio rahisi kuondoka, atakomaa mpaka uchaguzi ufike, Hao wananchi wamepata nguvu kwa sababu ya ile kauli yake aliowashambulia nato, wananchi wakaona wapatize ili yawe mambo ya kisiasa
Rais kijana inahusiana vipi na kushindwa kwenye Uchaguzi ujao?
Hahahahahahaaaaaaaaaa, Leo nimepita ubalozi wa Ufaransa pale opposite na Red cross, sasa nikawa nimepokea simu vibaya wakadhani napiga picha, weeee, nimeitwa na ka mlinzi flani yaani nimehojiwa na simu ikapekuliwa nikajua kweli hii nchi wako stable, kumbe tumbafu tu huko kwao kimeshanuka, shwaini hao....
Mkuu nimemaanisha Raisi kijana si rahisi kujizulu wakati mda wake bado upo kukaa madarakani, labda uchaguzi ufanyike thn aondolewe kwa kura
Hahahahahahaaaaaaaaaa, Leo nimepita ubalozi wa Ufaransa pale opposite na Red cross, sasa nikawa nimepokea simu vibaya wakadhani napiga picha, weeee, nimeitwa na ka mlinzi flani yaani nimehojiwa na simu ikapekuliwa nikajua kweli hii nchi wako stable, kumbe tumbafu tu huko kwao kimeshanuka, shwaini hao....
Kwanini tuuogope,au kwenye NATO summit hukumsikia Trump alivyomwambia Macron?Wamarekani fake weusi wanauogopa huu uzi View attachment 1283026
Naona unajiongelesha tu kujikosha! Umesahau juzi tu ulikuwa unamsifia macron dhidi ya trump kuhusu inshu ya NATO! Unajua kabisa wamarekani weusi wanafurahia huu Uzi sababu huyo macron ananyooshwa kwa undumila kuwili wake.Wamarekani fake weusi wanauogopa huu uzi View attachment 1283026
Tuna omba ushahidi wowote ili kudhibitisha hicho unacho kisema.Ngoja tuone kama na France wataleta wanajeshi na vifaru kuua waandamanaji kama tulivyoona Iran