mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
mkuu kumekucha huko na Rais wa nchi hiyo mavi debe sasaPeople of actions hao. Hawana blah blah na porojo ka waTZ!
Tutapona tuu mkuu! Hiyo ndiyo dawa ya madictator wasioona alama za nyakatithat's what I am talking about! tutapona kweli mwaka huu????
Kaka hapa hakuna cha al-qaeda wala wakubwa fulani nyuma ya pazia' Ila wananchi wamechoka kubuluzwaYaani it seems ni kama vile MAFIA wanadondosha tawala fulani za nchi, HIVI WHAT WILL HAPPEN baada ya tawala nyingi kudondoka at once?
Je al-qaeda watajiimarisha na kuvuruga amani ya dunia ama?
Je kuna wakubwa wapo nyuma ya mapazia kwa maslahi yao ama?
I fail to understand hususan katika 'arab world', bado sudan, yemen, morocco vs western sahara, Jordan etc..
Yaah mda wetu bado,lakini uko njiani unakuja na uko very close from todaybinafsi naamini you cant force revolution. I think it came about the right time in Egypt, it doesnt necessary mean it will work elsewhere. Inawezekana kabisa mda wetu bado...
Mrembo ulijua kama Egypti ingewezekana? achana na nguvu ya umma. Yatawezekana na watamtoa tumamemwagwa kama 30,000 police mtaani, unafikiri maandamano yatafanikiwa?
Usijari kila kitu kinakuja na wakati wake. TIME AND SPACEMbona nasi tuko mbioni? We are tired of blah blah kwa kweli
kote huko mafuriko makali lazima yapite. Hii ndiyo dawa ya viongozi makatilihahahahahaha,this is giving me happiness today huhuhuhu!
Zimbabwe mpooooooooo,....na Uganda jeeeeee?
QUOTE=Mantisa;1614304]Mbona nasi tuko mbioni? We are tired of blah blah kwa kweli