Maandamano makubwa ya CHADEMA-ARUSHA

Maandamano makubwa ya CHADEMA-ARUSHA

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
482
Reaction score
131
wanabodi
CHADEMA Arusha wataandamana Jumanne ya wiki ijayo kupinga wanachama wao kukatwa mapanga na akna Mjusi na Mojaa wa ccm,pia watalaani na kupinga polisi kushirikiana ccm kuwakandamiza
Tangu kampeni za Sombetini zianze wanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani wapatao 8 wamekatwa mapanga na ccm mbele ya polisi bila hatua yoyote kuchukuliwa dhidi ya wahalifu hao
Duru kutoka kwaviongozi wa Jeshi la polisi zinadai kuwa OCD na RPC wapo kinyume cha CHADEMA hasa baada ya tuhuma nzito kuwa wao ndio waliopiga bomu Soweto Juni 15
 
Mimi binafsi nasikitika kwa watu kufanyiana Unyama! Lakini kuandamana pekee hakutoshi ni lazima hatua za kisheriq zichukuliwe!
Tufike sehem kila tukio linalofanyika linalohusu Usalama wa Raia tujue ni nn kinafanyika ili kurudisha utu wa Binadam, Kuandamana tu haitosh ni lazima kifanyike kitu.
 
Tangu lini wauaji nao wakavamiwa na kupigwa usitudanganye kabisa nyie chadema mmezoea kupiga watu na kusingizia ccm mlirusha bomu soweto mkasingizia polisi.
 
Tz imekuwa nchi ya uuaji wa raia waso hatia hili latokana na utawala wa damu ulopo madarakani.
 
CCM bana, I can think wengi wenu mnakiburi cha pesa zetu za PAYE, wengi wenu mmejaa viburi visivyo vya kusadikika. Jueni tu KILICHOANDIKWA NA MUNGU NA KITAFUTWA NA MUNGU.
 
Tangu lini wauaji nao wakavamiwa na kupigwa usitudanganye kabisa nyie chadema mmezoea kupiga watu na kusingizia ccm mlirusha bomu soweto mkasingizia polisi.

Unaua ili uishi lakini ipo siku.
 
ukishindwa kupata haki kutoka vyombo vinavyohusika , dawa ni kukusanya nguvu ya umma tu , hiyo ndiyo kiboko yao .
 
CCM wanacheza mchezo watakaokuja kuujutia baadae. Wanacheza na amani ya nchi, viongozi wao wasio na akili wanawaangalia tu, siku wananchi wakiamua kujibu mapigo ndipo utasikia oooh, amani ya nchi!!
 
Leo jumapili nendeni kanisani maandamano hayatawasaidia chochote mmeishajiuliza toka muanze kuandamana maandamano yamewasaidia nini.
 
What goes around comes around ..... Alliiiiiiiiii kasahau alpokuwa kamanda wa green guard aliwafanya nini wanachama wa TLP sombetini
 
umesahau miaka ile pelekeni pua muone chuma cha shaba kipo mtarudi bila miguu.

kwa taarifa yako ni kwamba asilimia kubwa ya askari hawakubaliani na wanachofanyiwa cdm , wewe endelea kujidanganya , kikinuka ndiyo utaelewa hali ilivyo .
 
Hatuwezi kukopesha maisha yetu kwa watu kisa sheria mbaya za nchi, polisi anataka kusaidiwa wakati kikosi kinafanya mambo vivy isiyo
 
Tangu lini wauaji nao wakavamiwa na kupigwa usitudanganye kabisa nyie chadema mmezoea kupiga watu na kusingizia ccm mlirusha bomu soweto mkasingizia polisi.

Inasahngaza kuona watu wasiojali maisha ya wengine kwaajili ya ULAFI wao. Kama demokrasia imeshindikana, tangazi ili ulimwengu ujue. Kwanini wapinzani waishi ndani ya nchi yao kama wakimbizi? Tena hata sheria ya ukimbizi, haipo kandamizi kama hivi.

View attachment 136549

Huyu ni mmoja wa wahanga wa kukatwa mapanga mbele ya polisi bila ya wao kuchukua hatua yoyote, hapa ninaiona vita ya wenyewe kwa wenyewe hapo 2015.
 
ukishindwa kupata haki kutoka vyombo vinavyohusika , dawa ni kukusanya nguvu ya umma tu , hiyo ndiyo kiboko yao .

yani chadema mkatane mapanga wenyewe na muandamane wenyewe..!akili za kitaahira hizi
 
Back
Top Bottom