Maandamano makubwa kumshinikiza Gavana Ndulu aachie ngazi BOT

Hii nchi nzuri sana,
Leo nimeona wachimbaji wadogo wakiandamana kumpongeza Mtukufu Rais kuwapa maeneo ya kuchimba dhahabu. Ile amri ya jeshi la polisi kuzuia mikutano ya hadhara na maandamano limejaa kimya jamaa wamefanya vyao.
Najiuliza, wao wameruhusiwa na nani??
Tukijiaminisha jamaa wanafanya siasa tunaambiwa ni uchonganish....
 
Wadau,

Tunapanga kufanya maandamano makubwa kuelekea BOT kumshinikiza Gavana wa benki kuu TZ Bwana Benno Kuachia ngazi, sababu kuu ni moja tu, huyu bwana amekuwa akimkosoa mweshimiwa Magufuli mbele ya vyombo vya habari, akiacha wajibu wake muhimu wa kumshauri.

Tokea Mh Magufuri aingine madarakani, huyu mtu amekuwa kama mkosoaji mkuu wa sera za uchumi za Magufuri, akisahau kwamba kutetereka kwa uchumi wa nchi hii kunachangiwa na yeye kama mshauri wa mambo ya fedha kwenye serikali.

Tumepanga kufanya maandamamo hayo mwanzoni wiki ya pili ya mwezi wa kwanza. Muhimu ni kuwa haya sio maandamano ya kisiasa hivyo hayataongozwa na vyama vya siasa, haya ni maandamano ya vijana wazalendo wanayoipenda nchi yao.

Nachukua fursa hii kuwaomba vijana wote, wa mitaani, kutoka kwenye taasisi za elimu na sehemu nyingine kutoa maoni yenu ili kufanikisha lengo hili.

Azma yetu ni kuhakikisha Benno Ndulu anaachia anampisha Gavana mwingine atakayeendana na kasi ya JPM, atakayechukua jukumu la kumshauri Rais sio kumkosoa pasi na msingi.

Karibu sana wadau.

Nategemea kurudi nyumbani ili kufanikisha lengo tajwa.

Wenu

Tume ya katiba
Nenda kijijini ukasalimie wazee wako kipindi hiki cha sikukuu maana akili zakp zimepungua kweli kweli
 
Hicho kichwani umejaza kinyesi tu benno ndulu akuongea ukweli mnasema anamkosoa rais...uandamane wew kama nani?? Utatumika kama toilet paper halfu utaachwa tu kama wale wenzio
 
Wadau,

Tunapanga kufanya maandamano makubwa kuelekea BOT kumshinikiza Gavana wa benki kuu TZ Bwana Benno Kuachia ngazi, sababu kuu ni moja tu, huyu bwana amekuwa akimkosoa mweshimiwa Magufuli mbele ya vyombo vya habari, akiacha wajibu wake muhimu wa kumshauri.

Tokea Mh Magufuri aingine madarakani, huyu mtu amekuwa kama mkosoaji mkuu wa sera za uchumi za Magufuri, akisahau kwamba kutetereka kwa uchumi wa nchi hii kunachangiwa na yeye kama mshauri wa mambo ya fedha kwenye serikali.

Tumepanga kufanya maandamamo hayo mwanzoni wiki ya pili ya mwezi wa kwanza. Muhimu ni kuwa haya sio maandamano ya kisiasa hivyo hayataongozwa na vyama vya siasa, haya ni maandamano ya vijana wazalendo wanayoipenda nchi yao.

Nachukua fursa hii kuwaomba vijana wote, wa mitaani, kutoka kwenye taasisi za elimu na sehemu nyingine kutoa maoni yenu ili kufanikisha lengo hili.

Azma yetu ni kuhakikisha Benno Ndulu anaachia anampisha Gavana mwingine atakayeendana na kasi ya JPM, atakayechukua jukumu la kumshauri Rais sio kumkosoa pasi na msingi.

Karibu sana wadau.

Nategemea kurudi nyumbani ili kufanikisha lengo tajwa.

Wenu

Tume ya katiba
Yani umekaa kwenye nchi za watu bado unawaza ujinga kama huu kweli unapaswa kujileta kabla hujaletwa maana unawatilia shombo wenzio huko nakukaa kote akili haijamature shame on you.!
 
Wadau,

Tunapanga kufanya maandamano makubwa kuelekea BOT kumshinikiza Gavana wa benki kuu TZ Bwana Benno Kuachia ngazi, sababu kuu ni moja tu, huyu bwana amekuwa akimkosoa mweshimiwa Magufuli mbele ya vyombo vya habari, akiacha wajibu wake muhimu wa kumshauri.

Tokea Mh Magufuri aingine madarakani, huyu mtu amekuwa kama mkosoaji mkuu wa sera za uchumi za Magufuri, akisahau kwamba kutetereka kwa uchumi wa nchi hii kunachangiwa na yeye kama mshauri wa mambo ya fedha kwenye serikali.

Tumepanga kufanya maandamamo hayo mwanzoni wiki ya pili ya mwezi wa kwanza. Muhimu ni kuwa haya sio maandamano ya kisiasa hivyo hayataongozwa na vyama vya siasa, haya ni maandamano ya vijana wazalendo wanayoipenda nchi yao.

Nachukua fursa hii kuwaomba vijana wote, wa mitaani, kutoka kwenye taasisi za elimu na sehemu nyingine kutoa maoni yenu ili kufanikisha lengo hili.

Azma yetu ni kuhakikisha Benno Ndulu anaachia anampisha Gavana mwingine atakayeendana na kasi ya JPM, atakayechukua jukumu la kumshauri Rais sio kumkosoa pasi na msingi.

Karibu sana wadau.

Nategemea kurudi nyumbani ili kufanikisha lengo tajwa.

Wenu

Tume ya katiba
Usitegemee kupata ushirikiano wa mtu yeyote mwenye akili timamu, hivi Beno ndulu akiondolewa BOT ataletwa nani? mimi naogopa sana kwasababu pale Wizara ya Fedha katolewa katibu mkuu mtaalamu Likwelile ameletwa mpya, sitaki ku-comment chochote waulize watu makini wanaofanya kazi kwa karibu na Wizara ya Fedha kama Benki Kuu na Mashirika ya fedha ya kimataifa wanamuonaje huyu katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Fedha, ashukuriwe Mungu mchakato wa kumuondoa Gavana wa Benki kuu siyo rahisi kama ilivyo kuwaondoa wateule wengine. Tuipende nchi yetu jamani
 
Jambo moja la dhahiri ni kuwa Professor Ndulu ni mtaalam wa uchumi aliyebobea kwa miaka mingi. Zinapotokea kauli mbili kuhusu masuala ya kiuchumi nchini moja toka kwa Professor Ndulu na nyingine ya mtu awaye yote mimi huwa naamini ile ya Professor Ndulu kwani huyu ninajua ameusomea uchumi na kuufanyia kazi kwa miaka mingi.
 
hisia zangu zina nambia kwamba wala hamjalenga huyo gavana ajiuzulu ila mnashindwa tu kuweka wazi kuwa mnamtaka Mkulu ajiuzulu. Ni hisia zangu tu lkn tusije kutafutana
 
Hii nchi nzuri sana,
Leo nimeona wachimbaji wadogo wakiandamana kumpongeza Mtukufu Rais kuwapa maeneo ya kuchimba dhahabu. Ile amri ya jeshi la polisi kuzuia mikutano ya hadhara na maandamano limejaa kimya jamaa wamefanya vyao.
Najiuliza, wao wameruhusiwa na nani??
Tukijiaminisha jamaa wanafanya siasa tunaambiwa ni uchonganish....

Maandamano yapo kikatiba na ni haki ya raia, kilichozuiwa ni maandamano yenye viashiria vya uvunjifu wa amani. Tukutane wiki ya pili ya mwezi January. Beno Ndulu lazima aachie ngazi kupisha wenye nia ya kukuza uchumi.
 
Wadau,

Tunapanga kufanya maandamano makubwa kuelekea BOT kumshinikiza Gavana wa benki kuu TZ Bwana Benno Kuachia ngazi, sababu kuu ni moja tu, huyu bwana amekuwa akimkosoa mweshimiwa Magufuli mbele ya vyombo vya habari, akiacha wajibu wake muhimu wa kumshauri.

Tokea Mh Magufuri aingine madarakani, huyu mtu amekuwa kama mkosoaji mkuu wa sera za uchumi za Magufuri, akisahau kwamba kutetereka kwa uchumi wa nchi hii kunachangiwa na yeye kama mshauri wa mambo ya fedha kwenye serikali.

Tumepanga kufanya maandamamo hayo mwanzoni wiki ya pili ya mwezi wa kwanza. Muhimu ni kuwa haya sio maandamano ya kisiasa hivyo hayataongozwa na vyama vya siasa, haya ni maandamano ya vijana wazalendo wanayoipenda nchi yao.

Nachukua fursa hii kuwaomba vijana wote, wa mitaani, kutoka kwenye taasisi za elimu na sehemu nyingine kutoa maoni yenu ili kufanikisha lengo hili.

Azma yetu ni kuhakikisha Benno Ndulu anaachia anampisha Gavana mwingine atakayeendana na kasi ya JPM, atakayechukua jukumu la kumshauri Rais sio kumkosoa pasi na msingi.

Karibu sana wadau.

Nategemea kurudi nyumbani ili kufanikisha lengo tajwa.

Wenu

Tume ya katiba
Wewe utakua dotoooo mtoto sijui wa mpwa, umeona upaymaster general haulipi sasa unataka kuwa gavana.
 
Umeishaomba kibali polisi? au unaleta uchochezi tu hapa na kusababisha watu kupigwa.
Siku hiyo unayoandaa maandamano itakuwa siku ya mapumziko?
maana watu tuko bussy kazini.
 
Wadau,

Tunapanga kufanya maandamano makubwa kuelekea BOT kumshinikiza Gavana wa benki kuu TZ Bwana Benno Kuachia ngazi, sababu kuu ni moja tu, huyu bwana amekuwa akimkosoa mweshimiwa Magufuli mbele ya vyombo vya habari, akiacha wajibu wake muhimu wa kumshauri.

Tokea Mh Magufuri aingine madarakani, huyu mtu amekuwa kama mkosoaji mkuu wa sera za uchumi za Magufuri, akisahau kwamba kutetereka kwa uchumi wa nchi hii kunachangiwa na yeye kama mshauri wa mambo ya fedha kwenye serikali.

Tumepanga kufanya maandamamo hayo mwanzoni wiki ya pili ya mwezi wa kwanza. Muhimu ni kuwa haya sio maandamano ya kisiasa hivyo hayataongozwa na vyama vya siasa, haya ni maandamano ya vijana wazalendo wanayoipenda nchi yao.

Nachukua fursa hii kuwaomba vijana wote, wa mitaani, kutoka kwenye taasisi za elimu na sehemu nyingine kutoa maoni yenu ili kufanikisha lengo hili.

Azma yetu ni kuhakikisha Benno Ndulu anaachia anampisha Gavana mwingine atakayeendana na kasi ya JPM, atakayechukua jukumu la kumshauri Rais sio kumkosoa pasi na msingi.

Karibu sana wadau.

Nategemea kurudi nyumbani ili kufanikisha lengo tajwa.

Wenu

Tume ya katiba
Pumbafu
 
We mbuzimawe kama gavana anatoa ushauri na bwana yule hataki kufuata unataka yeye afanye nini
 
Mbona Mheshimiwa Rais anao washauri wa maswala ya uchumi ofisini kwake..???

Mbali na hapo Yupo Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha,Yupo Waziri wa Fedha..

Ndulu ni Mkuu wa Taasisi hivyo anao Uhuru wa kutoa maoni yake kwa nafasi aliyonayo.
 
Back
Top Bottom