NAWASHAURI msiandamane kwani hata mm ni Mtanzania na nimeipenda RASIMU YA KATIBAJumamosi kutakuwa na maandamano makubwa yatakayo yaliyopangwa kitaalamu yatakayonzia mbauda,philps.sakina,kijenge,moshono sekei,ngulelo na katikati ya jiji.Maandamano hayo yataongozwa na viongozi wa UKAWA na Dini kulaani bunge la katiba kuchakachua maoni ya wananchi na kupitisha maoni ya ccm,
wananchi wote tujitokeze kwa wingi hata polisi wajitokeze kwa wingi kwani hata wao maoni yao yamechakachuliwa.
Andamaneni hukohuko kwenu na chama chenu cha ukoo.
Ila nawashauri muwaambie viongozi wa ngazi za juu za kitaifa wawe mbele ili virungu vianzie kwao sio muwe mabwege kujipeleka mbele.
Kumbuka:-Ukipatwa na matatizo katika vurugu hizo ni wewe na familia yako,na kama una dem mzuri basi unapigwa kirungu cha kiuno unasizz watu wanachukua mtoto.
Tafakari chukua hatua.
Sie Zanzibar shwarrii na Waislam hatumooo kwenye Maandamano hayo,Ungesema tu ni baadhi ya wale aliowataja Mhemshimiwa sita.
Halafu tujiulize kwanini Chadema tu?mbona vyama vingine ikiwe CUF wao kimyaaaa na wakati ni UKAWA.
Huku Zanzibar hakuna hata mtu mmoja anaepiga tena zogo,mambo yameisha watu wanahangaikia maisha yao ya kawaida.
Maana tunaona haina haja ya kupiga zogo mitaani wakati mwisho wa siku ni sie ndio tutaamua tunaitaka au la,Sasa nini kupotezeana muda wa kuandamana.
Nyie mnasema katiba ya wananchi imekataliwa na imeundwa katiba ya kisiasa,sasa jibu ni moja,njooni mitaani mjenge hoja ya watu kuikataa kwa vigezo muhim.
Maana watu wameiona.Tatizo ni kwamba watu wameishiwa hoja,wanaishi kwa matukio,na wananchi wa siasa za miaka ya 1995 - 2000 sio wa sasa.
Washaigeuza UKAWA ni chadema. Hofu yao kubwa ni chadema maana zile mbinu walizotumia kuiua NCCR, TLP nk zimeshindikana kwa hiyo ni tishio sana kwao.Unakimbilia wapi mkuu hebu rudi juu ukasome vzr uone kama kuna sehemu wameandka chadema wanaandamana au umekariri wakisema maandamano basi chadema
Andamaneni hukohuko kwenu na chama chenu cha ukoo.
Ila nawashauri muwaambie viongozi wa ngazi za juu za kitaifa wawe mbele ili virungu vianzie kwao sio muwe mabwege kujipeleka mbele.
Kumbuka:-Ukipatwa na matatizo katika vurugu hizo ni wewe na familia yako,na kama una dem mzuri basi unapigwa kirungu cha kiuno unasizz watu wanachukua mtoto.
Tafakari chukua hatua.
Sie Zanzibar shwarrii na Waislam hatumooo kwenye Maandamano hayo,Ungesema tu ni baadhi ya wale aliowataja Mhemshimiwa sita.
Halafu tujiulize kwanini Chadema tu?mbona vyama vingine ikiwe CUF wao kimyaaaa na wakati ni UKAWA.
Huku Zanzibar hakuna hata mtu mmoja anaepiga tena zogo,mambo yameisha watu wanahangaikia maisha yao ya kawaida.
Maana tunaona haina haja ya kupiga zogo mitaani wakati mwisho wa siku ni sie ndio tutaamua tunaitaka au la,Sasa nini kupotezeana muda wa kuandamana.
Nyie mnasema katiba ya wananchi imekataliwa na imeundwa katiba ya kisiasa,sasa jibu ni moja,njooni mitaani mjenge hoja ya watu kuikataa kwa vigezo muhim.
Maana watu wameiona.Tatizo ni kwamba watu wameishiwa hoja,wanaishi kwa matukio,na wananchi wa siasa za miaka ya 1995 - 2000 sio wa sasa.
NAWASHAURI msiandamane kwani hata mm ni Mtanzania na nimeipenda RASIMU YA KATIBA
Kwa Arusha ni Jadi yenu kwani hamtakubali chochote kinachoamuliwa
nw wenzetu watakuwa wanasali kwani ni Sherehe
Maandamano
MAANDAMANO
MAANDAMANO
mwisho mnapata faida gani?
kwani KATIBA ikiwa mtakavyo ndio hamtaandamana
hebu MKUE SASA
Andamaneni lakini msije mkajuta kwa kitakachotokea.
lazima waandamane hela walizopewa na wafadhili za kuzuia katiba zimeliwa sasa wanataka kuwatupia wananchi wajinga kuwadhirihishia wafadhili kuwa wananchi hawakuiafiki katiba
Tuje na mikate?
Jumamosi kutakuwa na maandamano makubwa yatakayo yaliyopangwa kitaalamu yatakayonzia mbauda,philps.sakina,kijenge,moshono sekei,ngulelo na katikati ya jiji.Maandamano hayo yataongozwa na viongozi wa UKAWA na Dini kulaani bunge la katiba kuchakachua maoni ya wananchi na kupitisha maoni ya ccm,wananchi wote tujitokeze kwa wingi hata polisi wajitokeze kwa wingi kwani hata wao maoni yao yamechakachuliwa.
Andamaneni lakini msije mkajuta kwa kitakachotokea.
Unakimbilia wapi mkuu hebu rudi juu ukasome vzr uone kama kuna sehemu wameandka chadema wanaandamana au umekariri wakisema maandamano basi chadema