Maandamano maandamano maandamno

heheheheheh ngoma inogile aggrey mwanri naye kafunguka
 

Ona tukeni mwee!...
 
Hatuandamani wakati wa kuongezeka kwa hadha ya maisha tutaandamana kwa kitu ambacho hata hukitaja? JF inaomba uwe wazi, tuandamane kwa lipi? Hatukuandamana wakati wa mgomo wa madaktari kuwaunga mkono kunusuru maisha ya ndugu zetu wagonjwa-tuandamane kwa lipi? hawa ndo Wa TZ bwana -mpaka taumbiwe kuandamana kuunga mkono uamuzi wa serikali -hapo hata watoto wa shule hadi chekechea watojipanga kwenye mabarabara
 
Tuatawalika kwa namna watawala wanavyotaka siyo kwa namna tunavyotaka tuliowapa mamlaka watawale. 2015 tutaongwa khanga, pila na kupigiwa mziki wa kizazi kipya na taarabu, mambo yanakuwa poa
 

umekula?? au unabwabwaja tu
 
Tanzania ni nchi kama nchi nyingine lkn ni watu wa vivu sana na hata hawafikiri kabisa na sasa ngoja 2one mwisho wake ni nini (VIONGOZI WETU NI WAVIVU SANA WA KUFIKIRI ) Inauma sana (let we see)
 
Ngoja nikalale mapemaaaa.. maana hii nayo kero
 
Ni maandamano ya amani tusiogope. Tuombe kibali na haki yetu ya kusindikizwa na polisi siku hiyo!!
 
namkumbuka gratian mukoba deus kibamba mnamo mwaka uliopita..
please wait while loading...
do not stay away or withdraw your attention on this thread
 
Maandamno ya nini? msituletee vurugu hapa. Na kwanini muyafanye Ijumaa? yafanyeni Jumapili. Msiwaharibie watu ibada zao.
 
kuna watu wengine wanafikri kwa kumia tumbo zao,kichwani mna makamasi,na tope na mchanga tu! Wengine wanatoa maada zinazoendana na matukio yaliopo, na wengine wana toa comments zilizo oza,kanakwamba mateso tulio nayo ss watnganyika hawayaoni jamani kueni waangalifu ktk kujibu,Serikali tulio nayo imeozaaa!!! Ni kama serikali ya San Abacha ya Mobuot Sese Seko wa Congo.
 
Hata kuwasuport doctors 2meshindwa!
 
hehhehehehehehhehehehee madktari wanafaida gani????
 

Ijumaa si ndio kesho, naona wadau wako kimyaa ila mimi hata ntafika hapo kutembea tu, ewe Mungu tusamehe watanzania kwani wote ni wehu hakuna anayetaka kuandamana, bravo JK kanyaga twende baba
 
khaaaaaaaaaaa sijipi pressure mie nala nashiba kivyao wanao piga kelele, alisikika mbunge mmoja akisema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…