Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 908
kasafishe meno ndo maana na maneno unayotoa ni machafu!upeo wako wa mambo mchafu yani kila kitu kichafu!kipato cha mtanzania ni 770,000.00 kwa mwaka mbunge anapata 660,000.00 kwa siku mbili!hizi akili matope!amkeni nyie vipofu na viziwi! Mnafikiri kutumia nini?
Daah! Inatia uchungu sana, afu watanzania tupo kimyaaaaa!kasafishe meno ndo maana na maneno unayotoa ni machafu!upeo wako wa mambo mchafu yani kila kitu kichafu!kipato cha mtanzania ni 770,000.00 kwa mwaka mbunge anapata 660,000.00 kwa siku mbili!hizi akili matope!amkeni nyie vipofu na viziwi! Mnafikiri kutumia nini?
Umenda kwa kuomba kibali kwa mapolice.
Sasa hapa chadema na ccm imekujaje?Kaka, hizo 660.000.00 kwa siku mbili hivi na Chadema nao wanachuwa au CCM peke yake?
Na bado kuna siku watakosa hata sh 50, waache waendelee kutumika!mapolisi nao watajiunga kwenye hayo maandamano maana nimeona polisi waliopata ajali ya tanga kwenye msafala wa makamu wa raisi wamekosa wametelekezwa mpaka mmoja alikuwa analalamika kwa kukosa tzs 3000
Sasa hapa chadema na ccm imekujaje?
Daah! Inatia uchungu sana, afu watanzania tupo kimyaaaaa!
Kaka, hizo 660.000.00 kwa siku mbili hivi na Chadema nao wanachuwa au CCM peke yake?
tuweke wazi maana na mimi nina safari ya kuja huko kama ni sababu ya msingi nitajiunga nanyi....msiliweke pembeni swala la posho za wabunge na mgomo wa madr
Niulize mimi ni nani ninayetaka kuandamana, raia wa nchi, ninayeteseka kwa kulipa kodi na sioni matunda yake, ninaye pinga nchi yangu kugeuzwa shamba la bibi, ninayepinga kuongezwa posho za wabunge, malipo ya dowans, kupanda kwa umeme, ninayepinga wizi wa kiwira, ninayepinga kujazana kwa watoto wa vigogo serikalini, ninayepinga taxi holiday kwenye mahotel, ninayepinga kuchelewesha mikopo kwa wanafunzi, ninayepinga huduma mbaya za elimu, afya na maji, ninayepinga safari nyingi za JK, ninayeunga mkono migomo ya wafanyakazi, ninayepambana na mchuzi bata kama wewe! Je wewe ni nani ambaye usiye taka tuandamane
huyu haina haja ya kupambana nae sema tumlime IP BAN asione JF kwenye Network yake tena
Ijumaa kuanzia saa ngapi?mimi nipo karibu na mlimani city,nifike pale saa ngapi hasa?Kweli hii nchi imezidi ufedhuli tumechoshwa na umasikini wa kujitakia!!Tupo pamoja mkuu!!