THE FIRST BORN JF-Expert Member Joined Apr 24, 2019 Posts 2,480 Reaction score 5,379 Oct 29, 2025 #1 Yote haya uliyataka ya Nini samia. Kulikua na best way ya kuyamaliza haya yote
ndammu JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 5,319 Reaction score 6,105 Oct 29, 2025 #2 Aliona vijana ni woga hakuna anaeweza kufanya kitu na yeye akategemea jeshi na vyombo vyengine vya ulinzi na ndio jeuri ya ccm ilipo.
Aliona vijana ni woga hakuna anaeweza kufanya kitu na yeye akategemea jeshi na vyombo vyengine vya ulinzi na ndio jeuri ya ccm ilipo.