Maandamano Iran:Marekani yaitisha Kikao cha Dharula UN

Maandamano Iran:Marekani yaitisha Kikao cha Dharula UN

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,379
Reaction score
13,198
Baada ya Maandamano yasiyo onesha Mwisho nchini Iran Serikali ya Marekani Imemtuma Balozi wake wa Kudumu Umoja wa Mataifa kuitisha kikao cha Dharula Umoja wa Mataifa na Kikao kingine cha Haki za Binadamu, kuona namna ya Kuwasaidia Wananchi wanaoteseka wa Iran. Maandamano Makubwa ya Kumpinga Ayatollah Khomeini.

''Umoja wa Mataifa unatakiwa Kuongelea hili'' akiwaambia waandishi wa habari walikusanyika. Katika siku zijazo tutaitisha mkutano wa umoja wa Mataifa hapa New York na baadae Mkutano wa Haki za Binadamu mjini Geneva Uswizi hatuwezi kunyamazia hili, raia wa Iran wanalilia uhuru wao.

Maandamano hayo yashachukua leo siku ya sita na bado hayaoneshi dalili za kuisha, Japo Utawala wa Teheran umesema Maandamano yataisha karibuni kwani wameshachukua hatua ya kuwadhibiti viongozi wote wa maandamano na wanaendelea kuwakamata. Watu hadi leo siku ya sita wameshapoteza uhai raia 22

Wakati huo huo Spika wa Bunge la Marekani amesema anasimama uande wa Raia wa Iran, ''Wameteseka kwa Muda Mrefu, Ni watu wao wenyewe ambao wamepaza sauti kupinga utawala wa rushwa.
'We stand with Iran's longsuffering victims-its people'
White House spokesperson Sarah Sanders said that the US stands with Iran's long suffering victims, its own people who have initiated a 'local uprising' against the 'corrupt' Iranian government.



Amb. Haley calls for UN emergency sessions on Iran

US Ambassador to the UN calls for Security Council, Human Rights Council in response to the mass protests in Iran

Contact Editor
Gary Willig, 02/01/18 21:45
Share

805604.jpg

Nikki Haley
Reuters
US Ambassador to the UN Nikki Haley said that the US could call for emergency sessions at the UN Security Council and Human Rights Council on the mass protests against the Ayatollahs' regime in Iran.

“The U.N. must speak out,” Haley said at a press conference. “In the days ahead, we will be calling for an emergency session both here in New York and at the Human Rights Council in Geneva. We must not be silent. The people of Iran are crying out for freedom.”

The protests against the ruling regime in Iran entered their sixth day Tuesday. Since last Thursday, thousands of Iranian civilians have taken to the streets to protest against President Hassan Rouhani’s government and the country’s supreme leader, Ayatollah Ali Khamenei.

The uprising, the largest since a series of mass protests in 2009, began in the city of Mashhad, when demonstrators denounced President Rouhani over the failure to reduce the country’s high unemployment rates.

Videos on Nazar's Telegram channel showed people in Mashhad, an important religious center in the northeast of Iran, chanting "Death to Rouhani".

They also showed chants of "Death to the dictator" and "Not Gaza, not Lebanon, my life for Iran", a reference to anger in some circles that the government is focusing on the wider region rather than improving conditions at home.

According to some reports, as many as 13 people were killed by Iranian security forces over the weekend in protests across the country. The Associated Press confirmed 12 of the 13 reported deaths.

The Iranian government blocked some social media outlets and popular instant messaging systems, calling the move a "temporary" limitation intended to prevent protesters from organizing mass demonstrations.

Both President Donald Trump and Israeli Prime Minister Binyamin Netanyahu have expressed their support for protesters, and called on other world leaders to back the demonstrations.
 
Na marekani ni moja ya waliosababisha hilo....wapuuzi kweli....
 
Mi naamini hayo maandamano yatazimwa tu iran sio wa mchezo,,subirini tu mtaona
 
Kwahiyo Njaa ya Wairan kasababisha Marekani? Iran ni Tajiri lakini Pesa inapeleka Gaza,Lebanon na Syria ni Upuuzi huku Wananchi wakiwa hohe hahe au Hujawasikia Wakiimba No Gaza,No Lebanon, No Syria Life for Iranian

Ni MAHESABU MAKUBWA ya mwi - Israel!
 
Nidhahiri shahiri kwamba maandamano yanayo endelea huko Iran, ambayo hata kinara wa maandamano hayo hajulika kwa kile wanacho dai ni kutokana na kupanda gharama za bidhaa, ukata wa mfukoni kunako sababishwa zaidi na vikwazo vya hawa ndugu wawili USA na pacha wake ISRAEL,

Nakile kinachodai kuwa serikali ya Tehran kutumia bajeti kubwa zaidi kwenye masuala ya nje na kuwasahau raia wa ndani (japo hii ni geresha tu).hivyo basi kupelekea maandamano makubwa zaidi na ya fujo huku waandamanaji wakibadili gia angani na kutaka kiongozi mkuu wa kidini ayatollah heminei atoke huku akina mama wakivua hijab zao.wakidai usawa dhidi ya sheria ngumu na kali za kiislamu katika taifa hilo lenye nguvu mashariki ya kati.

Je ni kweli mzungu akikuamlia huwezitoboa? Na kama ndivyo je nini kifanyike ili kuwe na usawa katika ulimwengu huu? Toa maoni yako bila povu.

PUMBAVU KAMA HUYU ANAFUNGUA UZI KWA MANENO[emoji1369]ATI NAE AONEKANE NAKUMALIZIA TOA MAONI BILA POVU
HAYA MAMTU NDIO YAKIZEEKA
YANAINGIA MIKATABA MIBOVU KABXAA YA MADINI NCHINI KWASABABU HAYAJITAMBUI UNAYAVUA SURUALI KWA NJAA ZAO TU
 
Hata Libya ilikuwa hivi hivi tena wakiitwa Mende na Gaddafi lakini matokeo yake yameonekana
 
hivi hao waarabu ndo huwa wao kila siku wanarubuniwa na Marekani.

maana naona mnalaumu marekani
 
For your info, kama huelewi undava unafanyika hapo Iran, kwa msaada wa US, Saudi, UK, like it was done in Libya etc
Basi nasikitika kukwambia wewe jitu zima na kongwe hapa JF, ndio una akili fupi kama za Mbowe na nyumbu zake
Mkuu tema Mate chini..! Mbowe kakukosea mini? Mwenzio kasema "Rais" hajaspecify Rais gani, wa WCB? Wa Manzese? Wa FM academia? Au Swebe Santana Rais wa wanaume?

So vema kuwatusi watu wasiohusika ktk Uzi huu.
 
Libya on making...kwan hao wairan hawajifunzi kilichotokea libya???kuna mataifa vilaza hata africa tuna akiili
 
Libya kulikuwa shwari leo si shwari tena, Iraq walikuwa na amani leo maelfu wanakufa ,afghan ,somalia,sieraleone ,somalia ,...kwa ufupi marekani ni magaidi namba 1 moja duniani
Ukikubali wakunyonye ni rafiki yao kama hutaki utapigwa akishirikiana na vibaraka wake
Waliivamia iraq kwa kisingizio ina silaha za sumu wakati kabla ya vita report ya mkaguzi wao ilisema hakuna silaha ila hawakujali waliivamia wakapiga mpaka hospitali kwa mabomu ,watoto wengi leo vilema na mayatima
Hata hapa tukiwa tofauti na interest zao wanawatengenezea ishu mkiwa bize kupigana wanachukua wanayoyataka
Hii nchi hii ni adui wa wanaojijua hata wasiojijua itz jst a matter of tym watkufikia mubasharra
 
Kama kimenuka Iran, kumbe popote kinawezeakana, muda utatwambia..
 
Ukiona maandamano ya raia, watu wanauawa ila wao wanasonga mbele, jua anguko lipo karibuni
 
Back
Top Bottom