simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,206
Maandamano ya kushinikiza kujiuzulu tume ya uchaguzi Kenya kuendelea kesho Nairobi na miji mingine Kenya. Maandamano yanaongozwa na vinara wa CORD na KANU wakiwemo Raila, Kalanzo Musyoka , Moses Wetangula, Nick Saalat. Maandamano kila Jumatatu hadi tume kujiuzulu. Je watanzania tuna lipi la kusoma hapa?IEBC protests take new twist as Kalonzo alleges evil plot