Huu si uisilamu Ila ni wimbi laNdugu zangu hebu tujadili nini hatima ya vurugu zinazoendelea kati ya wanauamsho wa kiislamu dhidi ya serikali hatima yake ni nini??? Ukiangalia ndani ya wiki hii kumetokea vurugu Mbagala, ikaja ya Sheikh Ponda kukamatwa hadi kusababisha mabomu kupigwa central police jana, hapo hapo zanzibar tena kumeibuka vurugu. Nini mwisho wake katika nchi yetu?? check hizo link
HAWA NDIO WAFUASI WA SHEIKH PONDA WALIOKAMATWA WAKIANDAMANA DAR LEO « Millard Ayo
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA VURUGU ZA KUNDI LA UAMSHO ENEO LA DARAJANI ZANZIBAR LEO.. « Millard Ayo
WAISLAMU JIJINI DAR WACHARUKA KUFUATIA KUTIWA MBARONI KWA SHEIKH PONDA ISSA PONDA.
SERIKALI YA ZANZIBAR YAWAHAKIKISHIA AMANI NA UTULIVU WANANCHI WAKE BAADA YA KUTOKEA VURUGU ENEO LA DARAJANI.:A S embarassed:
Ndugu zangu hebu tujadili nini hatima ya vurugu zinazoendelea kati ya wanauamsho wa kiislamu dhidi ya serikali hatima yake ni nini??? Ukiangalia ndani ya wiki hii kumetokea vurugu Mbagala, ikaja ya Sheikh Ponda kukamatwa hadi kusababisha mabomu kupigwa central police jana, hapo hapo zanzibar tena kumeibuka vurugu. Nini mwisho wake katika nchi yetu?? check hizo link
HAWA NDIO WAFUASI WA SHEIKH PONDA WALIOKAMATWA WAKIANDAMANA DAR LEO « Millard Ayo
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA VURUGU ZA KUNDI LA UAMSHO ENEO LA DARAJANI ZANZIBAR LEO.. « Millard Ayo
WAISLAMU JIJINI DAR WACHARUKA KUFUATIA KUTIWA MBARONI KWA SHEIKH PONDA ISSA PONDA.
SERIKALI YA ZANZIBAR YAWAHAKIKISHIA AMANI NA UTULIVU WANANCHI WAKE BAADA YA KUTOKEA VURUGU ENEO LA DARAJANI.:A S embarassed:
1. Vurugu ya kuchoma makanisa
2. Fujo na kuchoma maduka
3. Kuua Polisi
4. Kutaka kumuua mtoto kisa kitabu kimekojolewa
1. Vurugu ya kuchoma makanisa
2. Fujo na kuchoma maduka
3. Kuua Polisi
4. Kutaka kumuua mtoto kisa kitabu kimekojolewa