IRIOKO
JF-Expert Member
- Jan 19, 2016
- 279
- 268
Hajielewi huyo ni kuni ya akibaHawamuwezi North Korea bila Kumtumia China kukata mahusiano ya kibiashara na North Korea lakini nakushangaa kushabikia uonevu unaofanywa na marekani huko North Korea, je hujui kuwa hata Tanzania ikiamua kujitegemea bila wao na kujilinda kijeshi, Marekani atapanga kuipiga huku akisema 'Tanzania ni nchi hatari duniani lazima ipigwe' MWENZAKO AKINYOLEWA ZAKO TIA MAJI.