christelly
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,464
- 1,463
Ndiyo nature ya mawazo yako na kizazi chenu kwa ujumla! As long as umepewa ubwabwa na kushiba uko radhi kuuuza utu wako na utashi wako. Haya ndiyo yanatugharimu Tanzania hadi Leo ,ukipewa kanga na kofia unasahau dhiki zote mlizopata kwa miaka mitano.Mm korea inanisaidia nn marekani inasaidia Tanzania naomba korea ifutwe kabisa kwenye uso wa dunia
# Anyway, US wawaletee na misaada ya ngoma ili muendelee kucheza vigodoro.