Maandalizi ya usaili TRA.

Maandalizi ya usaili TRA.

WADAU KATIKA KUSAKA MADUDE YA KUJIANDAA NA INTERVIW YA TRA NIMEKUTANA NA HILI DESA, KAMA VP NA NYIE MUONGEZE MADUDE ILI TULIAMSHE SIKU TUKIITWA PALE DUCE.

Jipange......jipange ukashangae siku ya siku.
 
TAX KUBWA KUDADEKI
-Icome Tax Act 2004
-TRA Act
-VAT Act
-EFD Act
-Public Finance Act 2017
-The East African Customs Management Act (EACMA)
-

Humo Kuna Mambo makubwa ya kuelewa wale wanaogopa hisabati jiandaeni na wale wanaogopa Maneno (theory) wajiandae Mitihani ya Tax haitabiliki.
 
Hicho ni kitabu cha INTERMEDIATE STAGE kwenye CPA bado kuna kitabu kingine kama hicho kwenye FINAL STAGE kazi ipo.Ila umewasaidia watu kwa ku upload hio material,big up chief.

Tombatomba idevice Model TH 45
 
TAX KUBWA KUDADEKI
-Icome Tax Act 2004
-TRA Act
-VAT Act
-EFD Act
-Public Finance Act 2017
-The East African Customs Management Act (EACMA)
-

Humo Kuna Mambo makubwa ya kuelewa wale wanaogopa hisabati jiandaeni na wale wanaogopa Maneno (theory) wajiandae Mitihani ya Tax haitabiliki.
Bado REGULATION ACT, TAX ADMNISTRATION ACT, INCOME TAX ACT Revised edition ya 2008 balaa tupu
 
Back
Top Bottom