maandalizi ya eid

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
msosi tari nimeuwekwa kwa fridge nikisubiria mwezi uandame



kama vipi nimedownloard mwezi mwandamo na nasherekea leo waskaji kaburini wote

 
Kamuone daktari.....kama unapeleka pwani bakuli lote hili na unabaki ulivyo?!!!!
 
Kamuone daktari.....kama unapeleka pwani bakuli lote hili na unabaki ulivyo?!!!!



Hapo mkuu nakubaliana na wewe kwa peke yake haliwezi,ila kwa mimi nikiwa na mjomba Kimburu na kaka Maarufu hilo bakuli halimalizi dakika kumi..
 
Bakuli lote kitoweo viguu vya kuku....mmmh bora niendelee na mfungo au ni ninywe maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…