Maandalizi ya December 9

Kweli HAPA KAZI TU na mpango wa kuwakamata wazururaji mitaani na kuwapeleka kufanya kazi za umma kama vile kilimo, ujenzi, usafi katika majengo na ofisi za serikali unaandaliwa.
HAPA KAZI TU. Safi sana Dr Magufuli amsha popo tz ing'are kwa maendeleo na usafi
 
Duh! Hapa mpaka manager ana wa kwake.
 
Na mkwere awepo msoga, siyo sasa nasikia tayari yupo nje ya nchi, aash!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…