Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Aug 25, 2015 #1 Nime-apply vyuo vya afya vya serikali na. Kwny account yangu ya nacte kwenye capacity ilikua ni 25 according to vyuo nilivyo apply.... Sasa baada ya muda flan kupita naona kulee kwenye capacity iko "0" Ndioo nauliza wakuu maanea yake ndioo nini?? Attachments Screenshot_2015-08-25-20-56-31.png 20 KB · Views: 132
Nime-apply vyuo vya afya vya serikali na. Kwny account yangu ya nacte kwenye capacity ilikua ni 25 according to vyuo nilivyo apply.... Sasa baada ya muda flan kupita naona kulee kwenye capacity iko "0" Ndioo nauliza wakuu maanea yake ndioo nini??