kanali mstaafu JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 4,317 Reaction score 4,118 May 11, 2018 #1 Huu msemo nasikia kweny nyimbo za akifa 2pac, Fa, Fid q na wengine. Mwenye kujua anijuze maana halisi ya hii Third love
Huu msemo nasikia kweny nyimbo za akifa 2pac, Fa, Fid q na wengine. Mwenye kujua anijuze maana halisi ya hii Third love
wilbald JF-Expert Member Joined Dec 17, 2007 Posts 1,809 Reaction score 1,382 May 11, 2018 #2 Kampuni ya kimarekani ya kutengeneza nguo za kike za ndani.
alphonce.NET JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 1,724 Reaction score 6,077 May 11, 2018 #3 kanali mstaafu said: Huu msemo nasikia kweny nyimbo za akifa 2pac, Fa, Fid q na wengine. Mwenye kujua anijuze maana halisi ya hii Third love Click to expand... Sina hakika kama unachosikia ni "third love" Itakua "thug love" ambayo maana yake ni "mapenzi ya watu wahuni au watu wa geto au watu wenye maisha magumu"
kanali mstaafu said: Huu msemo nasikia kweny nyimbo za akifa 2pac, Fa, Fid q na wengine. Mwenye kujua anijuze maana halisi ya hii Third love Click to expand... Sina hakika kama unachosikia ni "third love" Itakua "thug love" ambayo maana yake ni "mapenzi ya watu wahuni au watu wa geto au watu wenye maisha magumu"