Maana ya projection !

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,274
Reaction score
14,936
Watu wa psychology wana neno projection kwamba mtu anafanya kitu halafu anasema wewe ndiyo uliyefanya, mfano kwenye mahusiano mmoja anacheat halafu anamsingizia mwenziye ndiye aliye cheat, ana project.

Raisi anasema watu wanafanya mambo ya hovyo wanamsingizia.

Januari Makamba kachukua 30 million Dollars kamlipa Muhindi wakati hatuna umeme, Bosi wa Makamba ana project anasema siyo Awamu yake …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…