Sidhani kama hilo neno lina maana kwa kutumia neno moja....
Ila ni kutumia ushahidi fulani au uelewa wako wa kitu fulani ambacho mtu amekifanya, kwa kumtishia afanye kitu unachotaka au akupe kitu fulani ili usiweke wazi kile alichokifanya (uendelee kukifanya kile kitu siri)