Boniphace Kichonge JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 1,605 Reaction score 1,958 Sep 21, 2017 #1 Wajuzi wa lugha hili neno linatumiwa sana na wadau mbalimbali,hivi nini hasa tafsiri yake?na je ni wakati hutakiwa kutumika?Je twaweza kutoa mifano? Aksanteni
Wajuzi wa lugha hili neno linatumiwa sana na wadau mbalimbali,hivi nini hasa tafsiri yake?na je ni wakati hutakiwa kutumika?Je twaweza kutoa mifano? Aksanteni
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,700 Sep 21, 2017 #2 actually tunaweza kutoa mifano...
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,080 Reaction score 10,439 Sep 21, 2017 #3 Dah.... ..[emoji87]
simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,786 Reaction score 9,719 Sep 21, 2017 #4 Actually nchi imepoteza mwelekeo.
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,601 Reaction score 6,723 Sep 21, 2017 #5 Maana yake ni Kweli/Kwakweli
Liwagu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 5,873 Reaction score 7,145 Sep 21, 2017 #6 Actually humu jf kunawatu watakusaidia hiyo tafsiri.
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,728 Reaction score 4,181 Sep 21, 2017 #7 actually watu kama wewe huwa ni wapumbavu kufungua uzi na kuweka alama ya breaking news wakati actually sio breaking news
actually watu kama wewe huwa ni wapumbavu kufungua uzi na kuweka alama ya breaking news wakati actually sio breaking news
intro JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 308 Reaction score 328 Sep 21, 2017 #8 Actualy binafsi sielewi maana yake.
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,558 Reaction score 46,508 Sep 21, 2017 #9 Actually Sizonje ni mpenzi wa mungu na ni rahisi wa wanyonge.
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,558 Reaction score 46,508 Sep 21, 2017 #10 Actually nimedhamiria kuwasaidia Taifa lenye nguvu Duniani liwe Tanzania,makofi tafadhalini jamani.
Jaby'z JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 4,318 Reaction score 7,657 Sep 21, 2017 #12 actually=kiuhalisia/kimsingi
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,330 Reaction score 72,611 Sep 21, 2017 #13 Frank Wanjiru said: Actually nimedhamiria kuwasaidia Taifa lenye nguvu Duniani liwe Tanzania,makofi tafadhalini jamani. Click to expand... Ndio mzee
Frank Wanjiru said: Actually nimedhamiria kuwasaidia Taifa lenye nguvu Duniani liwe Tanzania,makofi tafadhalini jamani. Click to expand... Ndio mzee
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,330 Reaction score 72,611 Sep 21, 2017 #14 Jaby'z said: actually=kiuhalisia/kimsingi Click to expand... Kiukweli pia inafaa
MOI JOHN JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 1,735 Reaction score 1,085 Sep 22, 2017 #15 Waulize Wahaya
Betri yenye chaji JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 743 Reaction score 644 Sep 24, 2017 #16 actually uraisi siyo kazi rahisi, nilijaribu wakanisukumizia huko
Chakwale JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 1,086 Reaction score 1,601 Sep 24, 2017 #18 Actually atakuwa ameelewa sasa
LAZARUS KAMARADA Member Joined Aug 25, 2017 Posts 6 Reaction score 0 Sep 24, 2017 #19 Actually maana yake kiuhalisia
LAZARUS KAMARADA Member Joined Aug 25, 2017 Posts 6 Reaction score 0 Sep 24, 2017 #20 Kimbalisia ndo manake