C CHIPANJE JF-Expert Member Joined May 1, 2011 Posts 321 Reaction score 53 Dec 10, 2011 #1 Nembo ya Chama Cha Mapinduzi yenye NYUNDO na JEMBE,inatafsirika hivi:Nyundo kwajili ya kukupigia ukiwa mkaidi wa matakwa yao hadi kufa na jembe hutumika kuchimba kaburi kwajili ya mazishi.
Nembo ya Chama Cha Mapinduzi yenye NYUNDO na JEMBE,inatafsirika hivi:Nyundo kwajili ya kukupigia ukiwa mkaidi wa matakwa yao hadi kufa na jembe hutumika kuchimba kaburi kwajili ya mazishi.
J JATELO1 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,230 Reaction score 306 Dec 10, 2011 #2 Chipanje, Hakika umenivunja mbavu.
Memo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 2,157 Reaction score 760 Dec 10, 2011 #3 halafu zamani kilikuwa na beleshi wakalitoa. Beleshi la kukufukia wakisha kutwanga nyundo ukafa na kuchimba kaburi na jembe.
halafu zamani kilikuwa na beleshi wakalitoa. Beleshi la kukufukia wakisha kutwanga nyundo ukafa na kuchimba kaburi na jembe.
C CHIPANJE JF-Expert Member Joined May 1, 2011 Posts 321 Reaction score 53 Dec 10, 2011 Thread starter #4 RDI said: Chipanje, Hakika umenivunja mbavu. Click to expand... Ndo ukwel wenyewe huo!
libent JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 382 Reaction score 89 Dec 10, 2011 #5 we mkareee hizo nyundo zitawapiga wao wenyewe ngoja 2015, hiyo ni sawa na anaeguja jini akilikosea masharti linamuua mwenyewe
we mkareee hizo nyundo zitawapiga wao wenyewe ngoja 2015, hiyo ni sawa na anaeguja jini akilikosea masharti linamuua mwenyewe
C CHIPANJE JF-Expert Member Joined May 1, 2011 Posts 321 Reaction score 53 Dec 10, 2011 Thread starter #6 libent said: we mkareee hizo nyundo zitawapiga wao wenyewe ngoja 2015, hiyo ni sawa na anaeguja jini akilikosea masharti linamuua mwenyewe Click to expand... Kwel kabisa mwana,2015 hawa jamaa watangamia kwa silaha zao wenyewe na tutazika tu!
libent said: we mkareee hizo nyundo zitawapiga wao wenyewe ngoja 2015, hiyo ni sawa na anaeguja jini akilikosea masharti linamuua mwenyewe Click to expand... Kwel kabisa mwana,2015 hawa jamaa watangamia kwa silaha zao wenyewe na tutazika tu!
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Dec 10, 2011 #7 hii ya leo kali, wajiandae tutawafukia wenyewe. mwosha nae huoshwa.
KASHOROBANA JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 3,241 Reaction score 964 Dec 10, 2011 #8 ni kweli kwa maana hii tuko pamoja mkuu, 2015 kaburi lao kwa juu lazima tuweke zege ili wasitoke umo milele
ni kweli kwa maana hii tuko pamoja mkuu, 2015 kaburi lao kwa juu lazima tuweke zege ili wasitoke umo milele
Tango73 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2008 Posts 2,227 Reaction score 1,363 Dec 10, 2011 #9 hahahahahahahahaaaa! kweli kuku hashiki wembe!
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,068 Reaction score 5,559 Dec 10, 2011 #10 Napita tu ngoja nirudi chit chat