Ndugu yangu, kwa kugha ya kigeni tunaita 'Fringe benefits, Incentives or Package' marupurupu huwa yanakuwa katika mfumo tofauti tofauti kama ifuatavyo:
1. Mfumo wa fedha za ziada baada ya mshahara yaani Monetary benefits kama vile Mikopo mikubwa ya fedha kwa riba ndogo (Low rate interest- hii ni kwa ofisi)
2. Mfumo wa vitu yaani Non-monetary benefits kama vile 'unapewa nyumba ya kukaa, gari, kughalamikiwa safari, airtime, huduma za juu za afya, mikopo ya vitu n.k inategemea ofisi na ofisi
Ndio maana utaona kwenye matangazo wanakuambia fringe benefits will be provided to the successful candidate.
Ninalojua marupurupu ni zile hela unazochukua wewe baada ya bajeti fulani, mfano serikali imetoa milion 200 kwa ujenzi wa shule, mhusika wa bajeti hiyo ndani ya halmashauri husika kajenga kwa milion 180 basi milion 20 iliyobaki ni marupurupu yake.