Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,285
Bora huyo kapata ujasir wa kushtaki. Wanaume wengi wananyanyaswa kwenye ndoa zao na wake zao (kama sio physically bas ni psychologically) ila wanakaa kimya kwa kuogopa kudharauliwa kwenye jamiipole mkuu kwa yalokufika bt nawe ni kituko kweli unapigwa na mkeo hadi unaenda kushtaki?
Upo sahihi na hayo ni matunda ya Mfumo DumeBora huyo kapata ujasir wa kushtaki. Wanaume wengi wananyanyaswa kwenye ndoa zao na wake zao (kama sio physically bas ni psychologically) ila wanakaa kimya kwa kuogopa kudharauliwa kwenye jamii
😂😂😂 We jamaa mbingu utaiskia tuu 😂😂Yaani kama namuona jamaa mimacho ilivyo mtoka na kelebu ya shingoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]