Maana Ya Maisha

Maana Ya Maisha

Radium

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2022
Posts
490
Reaction score
871
Sio 1942 tena, na hauhitaji nguo za magome na ndevu nyingi ndo uelewe kuwa ni vitu vinne vinayapa maana maisha yako.
20230205-213044.jpg

#Cha kwanza
KISAIDIA WATU
Maisha yasiyo na maana kuliko yote inabidi yawe yale ya kwenda milimani ulime mazao uvune vizuri ule peke yako, ni sawa na kiviringisha jabali siku nzima kwasababu kufanya maisha yawe na maana ni kufanya kitu chenye faida kwa watu wengine tu.

Mara nyingi tunafikiri kitu kizuri ni kuhudumiwa, lakini hiyo wala haikaribii furaha ya kuwahudumia wengine. Kuwapa faraja ya moyo kuwaambia kila kitu kitakuwa sawa kuwaambia hata wewe yalishakukutaga kuwaambia pole

Kuwafundisha trigonometry, kuwaambia hata wewe logarithm na exponents ulikuwa huiwezi.
Kuwaambia mfuko wako wa nyuma umechomoka kuwaambia wameegemea vumbi wajikung'ute kuwaonesha kichekesho.

#Maana ya maisha ni kutengeneza kitu bora kuliko sisi.
Wote sisi ni misala tupu wahovyo wasahaulifu waoga wenye hasira za kijinga, hivyo kuna maana kubwa kutengeneza kitu superior. Treni yenye mpangilio mzuri zaidi, bustani zinavutia kuliko sisi, kitabu kinasema mambo ambayo hayawezekani kutekelezeka,....

# Kujua jinsi vitu vinafanya kazi pia ni maana
Gravity ,lugha ya kigeni, code za computer na muhimu zaidi sisi ni nani, tunataka nini na nini kinatuedhesha, na je tueke malengo gani.
6626hw.jpg

#Maana ya maisha hutokana na muunganiko na watu wengine.
Kinyume cha maongezi ya juu ni wewe kusema mambo ambayo yanakuuma rohoni au ninini ulifanya ukajiona umejiaibisha, yale mambo unayoogopa kusema kw watu.

Mbinu pekee ya kuanzisha mawasiliano ya maana we uliza tu "ninini kweli unachoogopa?"

SO THAT IS THE MEANING OF LIFE
 
Uhakika bro,

Kila siku hapa tunasisitiza kuwa ni kheri zaidi kuliko kupokea
Mara nyingi tunafikiri kitu kizuri ni kuhudumiwa, lakini hiyo wala haikaribii furaha ya kuwahudumia wengine. Kuwapa faraja ya moyo kuwaambia kila kitu kitakuwa sawa kuwaambia hata wewe yalishakukutaga kuwaambia pole
 
Maisha hayana maana kimsingi

This when we came to individual.
 
Sio 1942 tena, na hauhitaji nguo za magome na ndevu nyingi ndo uelewe kuwa ni vitu vinne vinayapa maana maisha yako.View attachment 2507658

#Cha kwanza
KISAIDIA WATU
Maisha yasiyo na maana kuliko yote inabidi yawe yale ya kwenda milimani ulime mazao uvune vizuri ule peke yako, ni sawa na kiviringisha jabali siku nzima kwasababu kufanya maisha yawe na maana ni kufanya kitu chenye faida kwa watu wengine tu.

Mara nyingi tunafikiri kitu kizuri ni kuhudumiwa, lakini hiyo wala haikaribii furaha ya kuwahudumia wengine. Kuwapa faraja ya moyo kuwaambia kila kitu kitakuwa sawa kuwaambia hata wewe yalishakukutaga kuwaambia pole

Kuwafundisha trigonometry, kuwaambia hata wewe logarithm na exponents ulikuwa huiwezi.
Kuwaambia mfuko wako wa nyuma umechomoka kuwaambia wameegemea vumbi wajikung'ute kuwaonesha kichekesho.

#Maana ya maisha ni kutengeneza kitu bora kuliko sisi.
Wote sisi ni misala tupu wahovyo wasahaulifu waoga wenye hasira za kijinga, hivyo kuna maana kubwa kutengeneza kitu superior. Treni yenye mpangilio mzuri zaidi, bustani zinavutia kuliko sisi, kitabu kinasema mambo ambayo hayawezekani kutekelezeka,....

# Kujua jinsi vitu vinafanya kazi pia ni maana
Gravity ,lugha ya kigeni, code za computer na muhimu zaidi sisi ni nani, tunataka nini na nini kinatuedhesha, na je tueke malengo gani.View attachment 2507689

#Maana ya maisha hutokana na muunganiko na watu wengine.
Kinyume cha maongezi ya juu ni wewe kusema mambo ambayo yanakuuma rohoni au ninini ulifanya ukajiona umejiaibisha, yale mambo unayoogopa kusema kw watu.

Mbinu pekee ya kuanzisha mawasiliano ya maana we uliza tu "ninini kweli unachoogopa?"

SO THAT IS THE MEANING OF LIFE
Una Madini Sana mkuu.

Kidogo # ya mwisho imepiga chenga.

Unarespond vipi kwa mtu anayekucritisize kwa hasira na kwa kufoka ikiwa wewe hupendi kujibizana kwa hasira.
 
Maana ya maaisha ni kila kitu kinabadilika, hakuna kitu ambacho hubakia hivyo hivyo, hata wewe huenda kuna kiasi umebadilika baada ya kumaliza kusoma sentensi tajwa hapo juu.
 
Hao wote ni wagonjwa wa akili whether PTSD au lolote la kisaikolojia. All they need is neither chemotherapy nor money but psychotherapy will do.
 
Maana ya maaisha ni kila kitu kinabadilika, hakuna kitu ambacho hubakia hivyo hivyo, hata wewe huenda kuna kiasi umebadilika baada ya kumaliza kusoma sentensi tajwa hapo juu.
Huyo Nietzsche wa avatar yako anasemaje mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom