maana ya incomplete ktk examination Results za vyuo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maana ya incomplete ktk examination Results za vyuo?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by odinyo, Mar 26, 2012.

 1. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Jana kuna mdogo alinieleza kua matokea yake pale IFM yamekua marked 'Incomplete'
  alipofuatilia mkuu wae wa idara alimuambia kua hujafana somo fulani (mgt) mwanafunzi alimuambia kua nimefanya mwl akajifanya anaangalia makaratas yake akaibuka kua hukufanya assigment kesho mwanaf akamletea test zake zote mwl akajifanya ilikua bahati mbaya tulichanganya matokeo na mtu fulani ambaye namba zenu za mwisho zinafanana. je nn maana ya incomplete au ni umungu mtu wa malecturer au ni Institute of Finance Mgt inavyozid kudidimia/?
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  JF sasa imeshakuwa jalala...
  Google maana ya Incomplete au litafute kwenye dictionary otherwise tuambie kama una jingine!
   
 3. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Hii ilitakiwa iishie huko huko IFM
   
 4. c

  chilubi JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,037
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Ndo hujakamilisha, mwisho wa habari unarejea mwaka mzima!
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  We nae unajihesabu uko chuo kikuu?
   
 6. R

  Rejea p.nassari Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo lecturer awe waz anamtaka nini huyo coulegues coz haiz kumzingua na matokeo yake kiivyo,
   
Loading...