Maana ya CCM-iwapi ile tuliyoachiwa na waasisi?

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Kweli ukiwa muovu utapewa majina mengi sana. Hizi ni baadhi ya tafsriri za CCM, ukiacha ile tuliyoachiwa na waasisi ambayo imekua ikifutika kizazi hadi kizazi,

1. Chama Cha Magamba
2. Chukua Chako Mapema
3. Chama Cha Mafisadi
4. Chap Chap Money
5. Chuo Cha Mafisadi
6. Chama Cha Msimu
7.
8.
Najua mtakuanazo tafsiri nyingine mwaweza kuongeza...

Jamani wanaCCm, inabidi kubadilika ili ile maana halisi ya CCM isijetoweka kabisa. Better start now.
 
Back
Top Bottom