Prosper C Manasse
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 635
- 692
Mlalamikaji Akifa Kesi Bado Otaendelea Mkuu Kwa Mashahidi Wengine Kuendelea Kutoa Ushahi.Kwaiyo mlalamikaji akifa kesi inakuaje na uzito tena, maana yeye ndo shaidi Namba moja,?,embu tueleweshe hapo Vizuri mwanasheria,,,kingine, mfano MTU amebakwa,akafungua kesi police then ikaenda mahakamani,je inaweza ikatokea DPP akamfutia mashtaka mshtakiwa kwa mamlaka aliyonayo Dpp?
Si Wakili Lakin Nimesoma Sheria Walau Ya Kuombea Maji.We we ni wakili si ndio?
Kama Umeshinda Kesi Na Unataka Kumfungulia Mtu Madai Inawezekana Lakn Je Ni Kweli Kwmb Tukio Halikuwepo Ama Lilikuwepo Lakn Ukashinda Kwa Upande Wa Mashitaka Kushindwa Kuthibitisha. Kama Tukio Lilikuwepo Kweli Si Rahisi Madai Yakubalike Maana Tukio La Uwongo Na Tukio Ambalo Lilikuwepo Lakn Upande Wa Mashitaka Ukashindwa Kuthibitisha Ni Mambo Mawili Tofauti.Inapotokea MTU amekupeleka Mahakamani kwa kesi ya uongo naUshahidi wake umeshindwa kuishawishi Mahakama...kumtia Hatiani mshtakiwa
....Huyu aliedhalilishwa akitaka kufungua Kesi yakudai fidia kwa kudhalilishwa Utaratibu unakuwaje?....na kunakuwa na muda maalum wa kufungua Kesi ya nmna hiyo?...au nikama ya JINAI haina muda cha muhimu umepata NAKALA ya HUKUMU mwaka wowote unaweza kumshtaki...naJE??....mtu anaedai fidia ya namna hiyo nikweli analipwa?....Kuna kuwa na kiwango maalum chakudai hiyo Fidia au..MTU unajiamulia tu....au...Mahakama ndio inayoamua
Nakushukuru sana mkuu...Umesema kama tukio lilikuwepo lkn upande wa Mashtaka umeshindwa kuthibitisha manake siniuongo huo au hapo imekaaje kwa Tafsiri ya kisheria...Nasema hivyo sababu kuna jamaa yangu walikuwa na jamaa yake walipeana Pesa kimtaani tu sasa wakagombana jamaa mwenye Pesa zake kamfungulia jamaa KESI ya kwamba amemtapeli kwamba alimpa hizo pesa amletee Bidhaa toka Nje ya NCH kesi imeenda Upande wa Mashtaka umeshindwa kuthibitisha Jinai manake wameshindwa Manake kwa uhalisia KESI ilipaswa kuwa ya MADAI badala ya JINAI sasa kwa ishu kama hiyo unadhani jamaa anawez kumdai fidia malalamikaji wake?.....Sababu jamaa amekubali kupokea Pesa lkn sio kwa ishu hiyo aliyoisema Mahakamani......hebu saidia hapo ndgKama Umeshinda Kesi Na Unataka Kumfungulia Mtu Madai Inawezekana Lakn Je Ni Kweli Kwmb Tukio Halikuwepo Ama Lilikuwepo Lakn Ukashinda Kwa Upande Wa Mashitaka Kushindwa Kuthibitisha. Kama Tukio Lilikuwepo Kweli Si Rahisi Madai Yakubalike Maana Tukio La Uwongo Na Tukio Ambalo Lilikuwepo Lakn Upande Wa Mashitaka Ukashindwa Kuthibitisha Ni Mambo Mawili Tofauti.
Madai Unafungua Baada Ya Kupata Nakala Ya Hukumu, Ni Vyema Ukaenda Kwa Mwanasheria Akakuandikia Madai Maana Yeye Anajua Wapi Pakugusa Na Kwanini.
Kuhusu Kiwango Cha Malipo Mahakama Inaweza Kuongeza Ama Kupunguza Kulingana Na Jinsi Itakavyoona.
Kuhusu Muda Sina Uhakika Sana Maana Kama Kuna Limit Maana Sijawahi Kujiuliza Wala Kukutana Na Ishu Kam hiyo Ambayo Muhusika Kapitiliza Muda.
Si Wakili Lakin Nimesoma Sheria Walau Ya Kuombea Maji.
Kunatofauti Kubwa Kati Ya Kosa Husika Na Maelezo Ya Kosa. Maelezo Ya Kosa Ndiyo Hutengeneza Kosa Husika Lakn Inatakiwa Mtu Upate Maelezo Yote Ya Muhusika Na Hati Ya Hukumu Ndiyo Ujue Nini Cha Kufanya.Nakushukuru sana mkuu...Umesema kama tukio lilikuwepo lkn upande wa Mashtaka umeshindwa kuthibitisha manake siniuongo huo au hapo imekaaje kwa Tafsiri ya kisheria...Nasema hivyo sababu kuna jamaa yangu walikuwa na jamaa yake walipeana Pesa kimtaani tu sasa wakagombana jamaa mwenye Pesa zake kamfungulia jamaa KESI ya kwamba amemtapeli kwamba alimpa hizo pesa amletee Bidhaa toka Nje ya NCH kesi imeenda Upande wa Mashtaka umeshindwa kuthibitisha Jinai manake wameshindwa Manake kwa uhalisia KESI ilipaswa kuwa ya MADAI badala ya JINAI sasa kwa ishu kama hiyo unadhani jamaa anawez kumdai fidia malalamikaji wake?.....Sababu jamaa amekubali kupokea Pesa lkn sio kwa ishu hiyo aliyoisema Mahakamani......hebu saidia hapo ndg